Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
- Thread starter
-
- #21
Huo ni urafi...uwezi kula vitu ambavyo toka uzaliwe aujawai kula utadhurika mkuu.Kwani ukila unakufa? Katika vitu ambavyo wewe huli, umepokea tu na wala hujui kwa nini huli... UMERITHISHWA KUWA HAVILIWI...
Umeshawahi kujiuliza kwa nini wanyama au wadudu fulani wanaliwa maeneo fulani, lakini maeneo mengine hawaliwi? MAPOKEO
Mkuu nini mbolea [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kaaharishe uko
Utakamatwa ukiweka hadharani mkuu.kumbikumbi nakula! Senene sili! Cha muhimu kuhusu hiyo mishikaki wanapouza wawe wazi! Waseme nauza mishikaki ya mbwa, nyani, mamba, nguruwe,punda n.k.
Kila mkoa nyama inapatikanaMkoa gani huo mkuuu...
Duuuh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Simba mbona analiwa ni salama kabisa
Mshana jr: na hiyo miguu na mikono yake wamevarisha gloves [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hii sio Tanzania ndugu yangu na huyu sio mbwa.. Hapa ni Congo na hii ni mboga ya kawaida kwao
Weee fumbua fumbo lako hilo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Nyama ni nyama
Si hata iringa wapo, wahehe watani zangu jamani wakuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Katika hao mbwa yuko wapi?
Wanaweza kukuuzia hata nyama ya kunguru.Umenikumbusha enzi tunapanda treni
Tumekula sana nyama za ndege joniWanaweza kukuuzia hata nyama ya kunguru.
Siri nyama za ovyo mkuu, binadamu wamebadilika wanajali maslahi yao tu...wanaweza kukulisha hata nyau.Una sababu ya msingi kwanini nyama fulani huli?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Wanakula kwani nyama ya mbwa na wao mkuu?Hiyo inaweza kuwa katavi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Napo hapaeleweki pia hapo, hila kwa hapo sio uwanja wa fisi mkuu.apo itakuwa uwanja wa fisi tu
Daah hila noma sana mkuu SHIMBA YA BUYENZE: mzee wa like [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ukila bila kujua hakuna noma. Salander pale usafiri wa reli ya kati tulikuwa tunakula nyama za kila aina. Kama tumbo haliumi sawa tu !!!