Hii maalum kwa walaji wa mishikaki ovyo, barabarani!

Hii maalum kwa walaji wa mishikaki ovyo, barabarani!

Hakuna taarifa za kusikitisha za watu kudhurika au kufa baada ya kula nyama ya mbwa...

Mambo yao waachie wenyewe...


Cc: mahondaw
 
Sababu zipo mkuu, 1. Tangu utoto katika malezi nilikitokea huko kwa wazazi wangu awajawai kunipikia nyama ya paka, wala mbwa...sasa leo hii ununue mishikaki ya paka, au mbwa ule kwangu ni ngumu kiongozi!
Mapokeo... umekuta haviliwi kwenu, na hujawahi kupikiwa....ukaendeleza kutokula.. basi... no scientific reason. Ujgekuta wanakuja, ungekula..!! Hujui tu vingapi na vya aina gani ushakula na hujui kama umevila
 
dalili ya kujua kua umekula mishikaki ya UMBWA ni pale unakuta umefika kwenu lakini bado unamzuka wa kuendelea kuzurura na unaweza kujikuta unapiga misele hadi asubuhi
 
Back
Top Bottom