Hii mboga inaliwa? Msaada wenu!

Mgagani ni huu
 

Attachments

  • E81F0FD6-6421-4B96-AB1C-65C924965CD2.png
    7.9 MB · Views: 3
Kuna baadhi ya vitu vikupite... umeishiwa mboga zingine mpk uhangaike na Mchicha pori...
 
Huo ni 'mchicha pori'.

Kwa sura na wajihi ni kama mchicha wa kawaida wa kijani, isipokuwa wenyewe ni mwekundu.

Kuna baadhi ya maeneo mchicha huu ni mchungu sana kama mgagani (Shinyanga na Simiyu)na maeneo mengine ni wa baridi kama ulivyo mchicha wa kawaida.

Aina zote, yaani mchungu na baridi unaliwa bila shaka yoyote.
 
🤣🤣🤣🤣 kaka utasababisha hiyo michicha iliwe kwa kiwango cha juu
 
Asante mjukuu wa Manyaunyau.
 
Mtatuongezea idadi ya watu wanaohitaji kusafishwa damu. Kitu haujawahi kula unamchuuza mwenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…