Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mgagani ni huuUkisikia mgagani orijino ndiyo huu sasa. Majani yake yana faida lukuki ikiwemo kuongeza nguvu za kiume, kuimarisha kinga ya mwili, kuondoa sumu mwilini, kupunguza cholesterol, kuimarisha uoni wa macho na faida nyingi nyingine.
Hizo mbegu huwa zinavunwa na kusagwa na huuzwa ghali sana. Huwa zinachanganywa na ulezi pamoja na unga kidogo wa mbegu za maboga kupikia uji ambao unasemekana unafanya kazi vizuri zaidi kuliko viagra!