BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
- Thread starter
- #61
Siku si nyingi tumtasikia kamanda wa polisi wa mkoa fulani akitoa taarifa ya watu kadhaa wa familia moja wamefariki kwa kula mchicha pori
Hujawahi kula mchicha pori?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku si nyingi tumtasikia kamanda wa polisi wa mkoa fulani akitoa taarifa ya watu kadhaa wa familia moja wamefariki kwa kula mchicha pori
Mkuu umenikosha kwa jinsi ulivyoweza kuandika kwa kigugumizi.Unaliwa hauna,hauna shida.
GMOMchicha pori mwekundu je! Unaliwa ama sumu?
Na upandaji wake ni kama mchicha tuliouzoea?
Hivyo nikisema nijaribu kuupanda unakubali kwa all season kwa maana kiangazi na masika?
Mchicha pori nimetokea kuupenda sana sana, ila huu mwekundu unanipa mashaka kama unaliwa.
View attachment 2934369View attachment 2934370
Msaada wenu wanajamvi.
Herbalist Dr MziziMkavu n.k
Uchungu si hoja, krolokwini chungu lakini tiba, sumu ya panya siyo chungu lakini inaua, ionje uone kama chungu.sasa kumbe unajua kabisa kama mgagani mchungu ni mboga na inaliwa sana maeneo hayo halafu iweje mchicha mshenzi ambao hauna uchungu hata chembe, iwe tatzo kiafya 🐒
Silagi matakatakaHujawahi kula mchicha pori?
Silagi matakataka