Hii mboga inaliwa? Msaada wenu!

Hii mboga inaliwa? Msaada wenu!

sasa kumbe unajua kabisa kama mgagani mchungu ni mboga na inaliwa sana maeneo hayo halafu iweje mchicha mshenzi ambao hauna uchungu hata chembe, iwe tatzo kiafya 🐒
Uchungu si hoja, krolokwini chungu lakini tiba, sumu ya panya siyo chungu lakini inaua, ionje uone kama chungu.
 
Back
Top Bottom