Wao ( ke) wanapenda sana hizo mambo ndio maana unaona hata wasanii Kama vile wanamuziki waliowengi wakike hupenda kukaa uchi wawapo majukwaani mbele za watu tofauti na wanaume.
Kwa ufupi "mwanamke ni chombo Cha starehe" na wao ke wanalijua hilo. Kwanza isingekuwa sheria kuwabana pengine wasingevaa nguo kbs wangetembea uchi barabarani kwakuwa wao wanaamini kuwa uchi wao ni silaha ya kutuangamiza sisi me
Dhambi na Roho ovu ndio zina wadrive hivyo. Sio wanawake tu hata wanaume wanaovaa Mlegezo, kuvaa vipensi mitaani, vipini, hereni, Bangiri, kusuka kwa aina yoyote, kuwa na Rasta, walevi, wazinzi, waasherati, wafiraji na wafirwaji, waongo kujichora tattoo na kubleach nywele. Lazima uwe na mapepo ndio ubehave hivyo. Kikawaida ni ngumu sana kuwa na tabia hizo. Hata wanawake wanaofanya hivyo, lazima wana Mapepo. Mungu alimuumba mwanadamu katika utu na utaratibu mzuri. Hata alipoanguka pale Bustanini, Mungu huyo huyo alimuua mnyama na kumvalisha mwanadamu mavazi ili asitiri tupu zake.Wao ( ke) wanapenda sana hizo mambo ndio maana unaona hata wasanii Kama vile wanamuziki waliowengi wakike hupenda kukaa uchi wawapo majukwaani mbele za watu tofauti na wanaume.
Kwa ufupi "mwanamke ni chombo Cha starehe" na wao ke wanalijua hilo. Kwanza isingekuwa sheria kuwabana pengine wasingevaa nguo kbs wangetembea uchi barabarani kwakuwa wao wanaamini kuwa uchi wao ni silaha ya kutuangamiza sisi me
Siyo sawa na viburudisho,bali ke ni viburudisho.Je Ke wanaocheza uchi huwa huwaoni? Elewa tu kuna Ke wa maisha na Ke wa starehe, ingawa Ke hudai haki sawa lakini kuna baadhi ya vitu Ke huwashushia sana hadhi hadi Me wengine huwachukulia sawa na viburudisho tu.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sasa mkuu unadhani yy ataongeaje km ni muathirika wa Chalamila oparesheni?Unaongea mkuu ila usiombe yakukute!,HUWEZI ELEWA HADI YAKUKUTE
Nenda mwenge kwenye vinyago Huwa wanachonga vitu vya ajabu. Sema wanakuwa wafupi fupisijawahi kuona midoli ya kike meusi ni weupe tu why
Nimeyaona hayo yaani ni ujinga sanaUkihitaji salamu subiri kwanza Boxing day ipite,la sivyo utaambulia Pilau kavu lisilokuwa na nyama!
Leo nilikuwa na wazazi wangu wa kike nilikuwa nawapeleka mahali fulani,sasa mahali nilipokuwa nawapeleka jirani ya huyo mtu aliyepaswa wakaonane nae kulikuwa na duka la nguo za ndani (Lingerie)!
Aisee yaani nimejuta kuwapeleka maeneo yale,ningekuwa najua ndo mambo yako hivyo ningetafuta dereva akawapeleka halafu mi nikaendelea na mishe nyingine!.
Yaani nimekuta midoli ikiwa imevishwa vyupi na namna yale ma midoli yalivyokuwa yamejazia nyama na hips,kiukweli nimeona aibu sana hasa mbele ya mama zangu!,Aiseee hii kitu ni hatari sana!
Ajabu ni kwamba,hii midoli huwa ina mishepu ya kwenda na halafu watu wa madukani pia huivisha chupi zilizobana na kufanya yaonekane kama mtu kabisa!
Midoli ya kiume mara nyingi inavishwa nguo za heshima sana ila ya kike mara nyingi huvishwa vyupi na vingine ni tule tu chupi twenye kamba,sasa unakuta doli lina ndundu ya kufa mtu unaona kabisa kale ka kamba kanapita katikati ya ndundu huku mi hips ikiwa imetuna kama mawe!.
Hayo maeneo ni mazuri ukiwa huna mzazi,ila omba usiwe na mzazi wako maeneo hayo,aiseee ni aibu sana!
Leo nilipanga iwe ni siku ya kukumbuka kumbukizi ya Yesu Kristo na sikupanga kabisa kufanya Uzinzi,ila baada ya kuyaona yale ma midoli nimeona nijikamatie bata mzinga moja nijipigie Mikunyubenga ya kutosha!
Kwani hao akina mama wanasemaje!? Wewe "me," unalalamikia kitu kisichokuhusu!?Hapo afadhali. Kuna maduka mengine unakuta yako uchi wa mnyama hadi unaona aibu kuyaangalia hususani kunapokuwa na akina mama wengi maeneo hayo.
Serikali iyapige marufuku kama ilivyofanya smz japo sijajua imefanikiwa kiasi gani.
Sasa una wasiwasi wa mama yako kuona midoli tu. Mngekutana na hicho ulichovuta kikivalia nusu uchi af kikakupa mate hapo hapo si ndo ungezimia?Unaongea mkuu ila usiombe yakukute!,HUWEZI ELEWA HADI YAKUKUTE