Hii Midoli inayovalishwa Nguo za ndani za Kike na kusimamishwa hadharani inawaaibisha wanawake na mama zetu!

Hii Midoli inayovalishwa Nguo za ndani za Kike na kusimamishwa hadharani inawaaibisha wanawake na mama zetu!

Wao ( ke) wanapenda sana hizo mambo ndio maana unaona hata wasanii Kama vile wanamuziki waliowengi wakike hupenda kukaa uchi wawapo majukwaani mbele za watu tofauti na wanaume.

Kwa ufupi "mwanamke ni chombo Cha starehe" na wao ke wanalijua hilo. Kwanza isingekuwa sheria kuwabana pengine wasingevaa nguo kbs wangetembea uchi barabarani kwakuwa wao wanaamini kuwa uchi wao ni silaha ya kutuangamiza sisi me
 
Wao ( ke) wanapenda sana hizo mambo ndio maana unaona hata wasanii Kama vile wanamuziki waliowengi wakike hupenda kukaa uchi wawapo majukwaani mbele za watu tofauti na wanaume.

Kwa ufupi "mwanamke ni chombo Cha starehe" na wao ke wanalijua hilo. Kwanza isingekuwa sheria kuwabana pengine wasingevaa nguo kbs wangetembea uchi barabarani kwakuwa wao wanaamini kuwa uchi wao ni silaha ya kutuangamiza sisi me

NAKUBALIANA NA WEWE MKUU
 
Ni sahihi na kwa kuwa maadili yamekufa kwa watu wengi wanaona kawaida. Nilishamuambiaga Dada mmoja pale Iringa aliyaweka dukani kwake yapo tupu na mengine ameyavalisha bikini na machupi ya hovyo hovyo yanayoonesha kila kitu. Kuwa sio sawa kuyavalisha nachupi ya namna ila au kuyaacha utupu huoni unajidharirisha wewe kama mwanamke? Kwanini usiyavalishe nguo za heshima zinazositiri?

Hahaaaaa majibu aliyonipa yule mama nikakoma kuulizia tena. Kimsingi, yale yanatakiwa yavalishwe vizuri au kama hawayavalishi vizuri yanatakiwa yapigwe marufuku ila kwa kuwa tupo kwenye kizazi kibaya, cha zinaa na chenye anguko la maadili yataachwa ila sasa kuongozana na Mabinti zako au Dada au Mama zako ni hatari sana. Usijaribu tena kufanya hivyo bro. Ni fedheha na aubu mbaya sana.
 
Wao ( ke) wanapenda sana hizo mambo ndio maana unaona hata wasanii Kama vile wanamuziki waliowengi wakike hupenda kukaa uchi wawapo majukwaani mbele za watu tofauti na wanaume.

Kwa ufupi "mwanamke ni chombo Cha starehe" na wao ke wanalijua hilo. Kwanza isingekuwa sheria kuwabana pengine wasingevaa nguo kbs wangetembea uchi barabarani kwakuwa wao wanaamini kuwa uchi wao ni silaha ya kutuangamiza sisi me
Dhambi na Roho ovu ndio zina wadrive hivyo. Sio wanawake tu hata wanaume wanaovaa Mlegezo, kuvaa vipensi mitaani, vipini, hereni, Bangiri, kusuka kwa aina yoyote, kuwa na Rasta, walevi, wazinzi, waasherati, wafiraji na wafirwaji, waongo kujichora tattoo na kubleach nywele. Lazima uwe na mapepo ndio ubehave hivyo. Kikawaida ni ngumu sana kuwa na tabia hizo. Hata wanawake wanaofanya hivyo, lazima wana Mapepo. Mungu alimuumba mwanadamu katika utu na utaratibu mzuri. Hata alipoanguka pale Bustanini, Mungu huyo huyo alimuua mnyama na kumvalisha mwanadamu mavazi ili asitiri tupu zake.

Kikawqida tunavaa mavazi kwa ajili yetu wenyewe na kwa ajili ya wengine na ndio maana wengi wetu including mimi na wewe tunapovaa nguo vyumbani mwetu ni lazima tujiangaloe. Je tupo sawa na je wenzetu watatuonaje huko nje?

Dhambi ni Mbaya na ndio inatutesa.
 
" Doli lina ndundu ya kufa mtu unaona kabisa kale ka kamba kanapita katikati ya ndundu huku mi hips ikiwa imetuna kama mawe!."...😂😂😂😂
 
Nafikiri hili tumpe credit yule Mzee Wa "jee huu ni Ungwana" wa Radio Free Afrika...
Amelizungumza hili sana kwa ukali na uchungu..

Somebody Msabaha..
 
Ukute una ukame wa muda mrefu ukiona mdoli umevalishwa chupi tamaa inawaka unatamani upate penzi. Zanzibar walishapiga marufuku midoli hiyo iliyovalishwa chupi tu
 
Ukihitaji salamu subiri kwanza Boxing day ipite,la sivyo utaambulia Pilau kavu lisilokuwa na nyama!


Leo nilikuwa na wazazi wangu wa kike nilikuwa nawapeleka mahali fulani,sasa mahali nilipokuwa nawapeleka jirani ya huyo mtu aliyepaswa wakaonane nae kulikuwa na duka la nguo za ndani (Lingerie)!

Aisee yaani nimejuta kuwapeleka maeneo yale,ningekuwa najua ndo mambo yako hivyo ningetafuta dereva akawapeleka halafu mi nikaendelea na mishe nyingine!.

Yaani nimekuta midoli ikiwa imevishwa vyupi na namna yale ma midoli yalivyokuwa yamejazia nyama na hips,kiukweli nimeona aibu sana hasa mbele ya mama zangu!,Aiseee hii kitu ni hatari sana!

Ajabu ni kwamba,hii midoli huwa ina mishepu ya kwenda na halafu watu wa madukani pia huivisha chupi zilizobana na kufanya yaonekane kama mtu kabisa!

Midoli ya kiume mara nyingi inavishwa nguo za heshima sana ila ya kike mara nyingi huvishwa vyupi na vingine ni tule tu chupi twenye kamba,sasa unakuta doli lina ndundu ya kufa mtu unaona kabisa kale ka kamba kanapita katikati ya ndundu huku mi hips ikiwa imetuna kama mawe!.

Hayo maeneo ni mazuri ukiwa huna mzazi,ila omba usiwe na mzazi wako maeneo hayo,aiseee ni aibu sana!

Leo nilipanga iwe ni siku ya kukumbuka kumbukizi ya Yesu Kristo na sikupanga kabisa kufanya Uzinzi,ila baada ya kuyaona yale ma midoli nimeona nijikamatie bata mzinga moja nijipigie Mikunyubenga ya kutosha!
Nimeyaona hayo yaani ni ujinga sana
 
kuna midoli iko pale stakishari kama unaelekea Tabata, kushoto hapa
sijui wameitoa wapi (iko thick alaf iko uchi) nikipita pale lazima nidindishe
 
Hapo afadhali. Kuna maduka mengine unakuta yako uchi wa mnyama hadi unaona aibu kuyaangalia hususani kunapokuwa na akina mama wengi maeneo hayo.

Serikali iyapige marufuku kama ilivyofanya smz japo sijajua imefanikiwa kiasi gani.
Kwani hao akina mama wanasemaje!? Wewe "me," unalalamikia kitu kisichokuhusu!?
 
Ule mdoli ukiwa nao kitandani aisee unaupelekea moto hadi unamaliza fresh kabisa.
 
Wakati wewe ukiona km aibu, wanawake wenyewe wanaona Safi tu na ndo maana hujawaona wamelalamika. Jifikirie hadi wewe unapita hapo unadhani wao wameshapita marangapi na wangapi ukizingatia chupi zinawahusu wao. Wewe ni sehemu ngapi umekuta chupi za kiume zikiwa kwenye midoli.

Muda mwingine wanaume wanatakiwa kuwa na akili ya kuwajua wanawake siyo kuishi kwa kukariri kuwa binadamu wote tuko sawa. Km kila sku wanatembea barabarani uchi wengine wanaenda Mluganzila Hospital kuoengeza matako hapo unaona akili ya mwanamke huwa inawaza nini. Wanavaa nguo za aibu kabisa na wengine wanavaa suruali ili kujifananisha na wanaume. Hapo unaona kuna akili ya uumbaji waliyopewa na Mungu?

Usimuonee mtu huruma wakati yeye hajakuomba kufanya hivyo.
 
Unaongea mkuu ila usiombe yakukute!,HUWEZI ELEWA HADI YAKUKUTE
Sasa una wasiwasi wa mama yako kuona midoli tu. Mngekutana na hicho ulichovuta kikivalia nusu uchi af kikakupa mate hapo hapo si ndo ungezimia?
Wewe mama yako umemtoa kijijini,kumuonyesha jiji. Af unaona aibu ya mambo atakayoyaona. Ulikuwa unampeleka wapi? Ungemtembeza na usiku machimbo yote(mkitembea kwa mguu),akajionee wanaojiuza,wanaovuta bangi,na mkapolwa huku anaona,ndo angejua maisha halisi unayoishi
 
Back
Top Bottom