Ni kweli aiko sawa...Haijakaa sawa kabisa,
Yaani watoto wadogo kabisa wanashuhudia Mambo makubwa kabla ya wakati,
Sijui tunakuza jamii ya aina gani.
Haha,Halafu kuna wengine unakuta hawajalivalisha, liko tu wazi.
Nafikiri kuna namna hapa inabidi ifanyike, siyo powa kimaadili.
Kuwe na haki za midoli.
Mambo makubwa yapi kwani chupi si nguo labda wangeuza sextoys hadharani. Halafu inawezekana hata mtoto akiona asifikiri hayo unayofikiri yanayotokana na kuwa na corrupted mind.Haijakaa sawa kabisa,
Yaani watoto wadogo kabisa wanashuhudia Mambo makubwa kabla ya wakati,
Sijui tunakuza jamii ya aina gani.
Niliuona mwingine umetupwa nje uko tupu mbaya zaidi ulikuwa na kabisa halafu watoto wa shule wanaukodoleaHalafu kuna wengine unakuta hawajalivalisha, liko tu wazi.
Nafikiri kuna namna hapa inabidi ifanyike, siyo powa kimaadili.
Kuwe na haki za midoli.
BILA PICHA HUU UZI NI BATILI.
PICHA YA MDOLI WA KIUME TAFADHALI
Mbona unapanic, let face the truth kimaadili tunawashinda watu wa UK but mbona HIV ni nyingi kwetu?Watetezi wa kukaa bila mavazi in public wameshafika.