Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hii kali aisee....😂😂😂...Halafu kuna wengine unakuta hawajalivalisha, liko tu wazi.
Nafikiri kuna namna hapa inabidi ifanyike, siyo powa kimaadili.
Kuwe na haki za midoli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kali aisee....😂😂😂...Halafu kuna wengine unakuta hawajalivalisha, liko tu wazi.
Nafikiri kuna namna hapa inabidi ifanyike, siyo powa kimaadili.
Kuwe na haki za midoli.
Hata haieleweki wanafanya biashara gani mkuu.Mdoli inamishepu, misambwanda, mguu huooo
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Nisaidie kutupia mkuu natumia free basics kuacces JF.
K kabisa kwenye plastiki? Labda K bandia.Niliuona mwingine umetupwa nje uko tupu mbaya zaidi ulikuwa na K kabisa halafu watoto wa shule wanaukodolea