Hii midoli ya madukani ni udhalilishaji wa wanawake. Waziri Gwajima piga marufuku matumizi yake

🀣🀣🀣🀣 wizo nimecheka mpk nimepaliwa, kumbe sisi tukiweka midoli madukani kuna watu wanadinda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😹😹😹😹😹😹😹 kuna midoli ina kisirani unaona kabisa papuchi imevimbaaa na kutuna kama tumbua. Unaachaje kudinda kwa mfano πŸ˜‹πŸ˜Ή
 
Sometimes hata usipoandika uzi mkuu inafaa, sio lazima uandike kila siku,

Kwa hio tunakuwa taifa linaloogopa midoli ? Just midoli? Kwamba sasa kuweka mdoli nje ni kosa ?

Hili taifa sasa litakuwa la kipuuzi,
Mzee midoli inakuwa uchi wa mnyama tena ina chuchu za kukuvutia huoni shida hapo? πŸ˜„πŸ˜„
 

Umeongelea wapi mkuu,ulaya,utamaduni wa ulaya si wa Afrika,mfano ulaya mnaweza kunyonyana ndimi lakini Afrika never tofa
 
Ni aina ya ugonjwa wa akili. Binadamu unakuwa na na hisia mpaka kwa masanamu?
Siyo hisia,ukiwa unaambatana na mwanao sokoni tena wa kike halafu ukutane na midoli ipo uchi unadhani utawaza vizuri,hapa tunazungumzia maadili ya kiafrika na watoto wetu wanajifunza nini kutokana na wanachoona?
 
Wacha ushamba wewe. Kama mji umekushinda rudi kwenu Nangurukuru. Yaani hizo "dummies" zinakupandisha nyege?? Halafu unasinguzia maadili. Nyie ndiyo wbakaji, sasa unatamani kubaka "dummy" (sanamu).
Hivi nyie ndo mmeambiwa mnaletewa midoli ya kuoa au siyo nyinyi binadamu? Ili kupunguza matumizi kwa wanawake ambao ni binadamu ? Msijitoe akili bwana
 
Hii nilifikiria mda mrefu sana.Na nashangaa wapo viongozi wa dini,lakini hakuna anayekemea kuhusu hili.Hongera sana kulileta hapa.
 
itakua hajafuturu mpaka sasa
muchangieni mutapoteza raia bure.
 
for Men
Grate 5 bitter kolas, 5 slices of garlic, a piece of ginger. Put everything in a container to be filled with 1 liter of water to keep cool. Thank me later
 
🀣🀣🀣🀣 wizo nimecheka mpk nimepaliwa, kumbe sisi tukiweka midoli madukani kuna watu wanadinda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu kiuhalisia ile midoli unajua ni Kama binadamu hivi,kasoro uhai,sasa kutana na mdori upo uchi na matiti yapo wazi na kiumbo linalingana na binadamu, think twice mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…