Hii miezi ya wakwanza, wasita, na wa kumi na mbili inawasumbua sana kimahesabu wenye nyumba au ni ukilaza wao tu au ni utapeli

Habari

Hivi mtu ukitoa kodi ya miezi sita itakayoanza kutumia tarehe 1-06-2023 inabidi iishe mwezi wa ngapi na tarehe ngapi maana hapa naambiwa eti itaisha tarehe 1-11-2023 bado sijalipia nataka kughaili maana mtu unamuelewesha haelewi
Ushapigwa na dalali hapo
 
Habari

Hivi mtu ukitoa kodi ya miezi sita itakayoanza kutumia tarehe 1-06-2023 inabidi iishe mwezi wa ngapi na tarehe ngapi maana hapa naambiwa eti itaisha tarehe 1-11-2023 bado sijalipia nataka kughaili maana mtu unamuelewesha haelewi

Hiki ki clip kitakusaida
 
Habari

Hivi mtu ukitoa kodi ya miezi sita itakayoanza kutumia tarehe 1-06-2023 inabidi iishe mwezi wa ngapi na tarehe ngapi maana hapa naambiwa eti itaisha tarehe 1-11-2023 bado sijalipia nataka kughaili maana mtu unamuelewesha haelewi
Itaisha November mwishoni, hivyo miezi sita itakayofuata itaanzia December.
 
Habari

Hivi mtu ukitoa kodi ya miezi sita itakayoanza kutumia tarehe 1-06-2023 inabidi iishe mwezi wa ngapi na tarehe ngapi maana hapa naambiwa eti itaisha tarehe 1-11-2023 bado sijalipia nataka kughaili maana mtu unamuelewesha haelewi
Miezi sita ni siku 180,kuanzia 1 jun 2023 miezi sita inaisha 28 Nov 2023
IMG_20230529_172233.jpg
 
Naghaili silipii maana hata dalali yuko upande wa kutetea uongo
Mtu anaanzaje kutetea uongo...hizo ni facts wala sio hisia! Waeleweshe taratibu wataelewa tu..si unajua tena mambo ya elimu za hapa na pale!
 
Back
Top Bottom