Hii miguu ya mtoto Tunda noma kweli!! kama ya Usain Bolt

Hii miguu ya mtoto Tunda noma kweli!! kama ya Usain Bolt

Status
Not open for further replies.
alafu ana matege makali kama mcheza football.
 
Miye huwa najiulizaga; Ni yupi alitakiwa ayavae hayo mavazi hapo? Ni huyo me au huyo ke? Jamani, nilivyo na wivu hivi!! Mwajua huwa natamani mkewangu yaani mai waifu akienda clinic sitaki kumwona kidume kikiingia humo ndani ya chumba?? Natamani nimtoboa macho yaliyoona paja la maiwaifu wangu!!
Halafu litoto linasanua vitu vyote hapo kwenye picha. Ptyuuuuu. Samahanini may be am too old for these photos
sio too old, ni ukweli ambao wengi wa dada na mama zetu hawataki kukubali.
huko ni kukaa uchi, wenyewe wanaita uhuru. mtoto wa kike unaweka manyonyo na kifua almost out, vitu ambavyo anapaswa kuona mumeo tu unaviweka hadharani, eti uhuru. Madude yenyewe basi yalivyokuwa ndala...ptuuuu!
 
Miguu halisi ya mrembo tunda ipo hapa.
-maswali ya hance mtanashati nitakuwa najibu mimi mpaka atakaporudi[emoji23] [emoji23]
Hivi kuna msichana Bongo anamzidi Tunda kwa uzuri??
bd06648fa38fc401046cbade339bf915.jpg

Duh Hance Mtanashati ana kesi ya kujibu [emoji1]

Acha uongo

Tunda hana miguu minene hivyo

Ngoja nimuite mtu wake

Hanceeeeeee mtanashatiiiiiiiii [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]

Njoo huku uone.
 
Kwa hiyo miguu ilivyokomaa hata mchunga ng'ombe kule kwetu kijijin Lughombo Tukuyu haon ndan. KM KWEL HUYU BINTI HIYO NI MIGUU YAKE HALIS KWA KWEL NIMESIKITISHWA NA KUKATISHWA TAMAA KWELIKWELI
 
sio photoshop, ukitaka kujua picha ni photo shop au sio angalia kivuli cha picha hiyo, cheki kivuli cha mkono wake kwenye mapaja hayo, utagundua ni real
Acha kudanganya umma wewe, kivuli ni kitu cha kawaida kwenye photoshop na watu huwa wanaeka sanaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom