Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Huyo anatatizo la Pshytophilystopicssinh kisayansi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio too old, ni ukweli ambao wengi wa dada na mama zetu hawataki kukubali.Miye huwa najiulizaga; Ni yupi alitakiwa ayavae hayo mavazi hapo? Ni huyo me au huyo ke? Jamani, nilivyo na wivu hivi!! Mwajua huwa natamani mkewangu yaani mai waifu akienda clinic sitaki kumwona kidume kikiingia humo ndani ya chumba?? Natamani nimtoboa macho yaliyoona paja la maiwaifu wangu!!
Halafu litoto linasanua vitu vyote hapo kwenye picha. Ptyuuuuu. Samahanini may be am too old for these photos
Duh Hance Mtanashati ana kesi ya kujibu [emoji1]
Acha uongo
Tunda hana miguu minene hivyo
Ngoja nimuite mtu wake
Hanceeeeeee mtanashatiiiiiiiii [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]
Njoo huku uone.
Acha kudanganya umma wewe, kivuli ni kitu cha kawaida kwenye photoshop na watu huwa wanaeka sanaasio photoshop, ukitaka kujua picha ni photo shop au sio angalia kivuli cha picha hiyo, cheki kivuli cha mkono wake kwenye mapaja hayo, utagundua ni real