Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
... FAFANUA KWA TAKWIMU!Naskia deni la taifa eti limefikia 108 trillions hadi juzi...😐
... Ndio muda wa kutafakari kwa kina!JamiiForum usiku wa manane...
Huku burundi saizi saa tatu asubuhi...🤭JamiiForum usiku wa manane...
...... NI MOTO WA PUMBA, CHUNGA SANA!Udini bado hauna nguvu.
Hilo la udini wala halihusiani na wakoloni. Ni uroho tu wa viongozi wetu ndio unaleta haya yote. Kwanini wasitende haki? Maandiko yanasema "Haki huinua Taifa, bali Dhambi ni aibu ya watu wowote" Karibia nchi hii itapata Aibu kubwa sana kwa kukataa Haki!BOMU LINAHESABU KINYUMENYUME!
Wakoloni wetu walituacha wamepandikiza mabomu ambayo, walijua au hawakujua, kuna muda yatalipuka! ... Rwanda walikuwa na dini moja lakini wakagawanywa kwa koo zao na baada ya muda wakalipuka!
.... TANZANIA!
Tumejitahidi sana, tokea tunapata uhuru, kusahau tofauti za makabila na koo zetu ili kutunza amani na utulivu wetu, na, kwa bahati, kwakuwa koo na makabila ni mengi sana, TUMEFANIKIWA!
JINAMIZI la Tanzania linataka kuibukia tusipotarajia kabisa, yaani kulekule tulipoweka matumaini yetu kuwa kuna viongozi wetu wa kiroho wanaojali usalama wetu kama taifa sasa ndiko moto unapotaka kulipukia! SABABU NDIPO ULIPO MGAWANYIKO WETU UNAOTUGAWA KIRAHISI SANA NA KUUNDA MAPANDE MAWILI TU HASIMU!
Tanzania tumerithi dini mbili kuu, UISLAM NA UKRISTO!
Dini ya kiislam kutoka kwa waarab, imekuwa ikiendeshwa na waislam ikiwa na utawala wa kati, BAKWATA, ambao makao makuu yake ni hapahapa Tanzania, japo kwa waislam kwa ujumla, kila msikiti ni kama taasisi inayojitegemea na sio kila muislam au msikiti upo chini ya BAKWATA kiviile!
Ukristo una madhehebu mengi, lakini kubwa na lenye ushawishi mkubwa ni dhehebu la wakatoliki lenye makao makuu Vatican kwa Papa! ... Vatican imeulea ukatoliki Tanzania kwa muda mrefu na kuujengea nguvu za kuichumi katika sekta mbalimbali ikiwemo Afya na Elimu. Hili ni zuri sana maana wote tunanufaika na huduma hizi!
Tukienda mbele kidogo, sasa Vatican imeacha wakatoliki wa kila nchi wajiendeshe na hapo ndipo linapotaka kupasukia BOMU maana kuendesha hiyo taasisi ni sawa na kuendesha nchi ndani ya nchi na ndio maana mikwaruzano ya kanisa na serikali sasa inazidi kukua!
HIVI MIKWARUZANO HII YA UKATOLIKI NA SERIKALI HAIWEZI KUAMSHA CHUKI BAINA YA WAKATOLIKI NA WAISLAM AMBAO UENDESHAJI WA DINI YAO, KIUCHUMI, HAUTEGEMEANI SANA NA SERA ZA KIUCHUMI ZA SERIKALI? HILI NI BOMU JAMANI!
TUJADILI KISAYANSI!
Sasa hata mjinga anauona jinsi udini ulivyotawala siasa za nchi hii! KINAENDA KUWAKA 'BIG WAY' NA NDO TUTAAMKA!Hilo la udini wala halihusiani na wakoloni. Ni uroho tu wa viongozi wetu ndio unaleta haya yote. Kwanini wasitende haki? Maandiko yanasema "Haki huinua Taifa, bali Dhambi ni aibu ya watu wowote" Karibia nchi hii itapata Aibu kubwa sana kwa kukataa Haki!
Kweli kabisa, hizi dini mbili za kipuuzi ndiyo laana yetu sisi Waafrika na sio Watanzania tu. Tumejirithisha imani za watu wengine wasio na maana kwetu, halafu utawasikia viongozi wajinga eti wanatuambia tuwalee watoto wetu kwenye misingi ya kidini, for what wakati hizo dini si zetu?BOMU LINAHESABU KINYUMENYUME!
Wakoloni wetu walituacha wamepandikiza mabomu ambayo, walijua au hawakujua, kuna muda yatalipuka! ... Rwanda walikuwa na dini moja lakini wakagawanywa kwa koo zao na baada ya muda wakalipuka!
.... TANZANIA!
Tumejitahidi sana, tokea tunapata uhuru, kusahau tofauti za makabila na koo zetu ili kutunza amani na utulivu wetu, na, kwa bahati, kwakuwa koo na makabila ni mengi sana, TUMEFANIKIWA!
JINAMIZI la Tanzania linataka kuibukia tusipotarajia kabisa, yaani kulekule tulipoweka matumaini yetu kuwa kuna viongozi wetu wa kiroho wanaojali usalama wetu kama taifa sasa ndiko moto unapotaka kulipukia! SABABU NDIPO ULIPO MGAWANYIKO WETU UNAOTUGAWA KIRAHISI SANA NA KUUNDA MAPANDE MAWILI TU HASIMU!
Tanzania tumerithi dini mbili kuu, UISLAM NA UKRISTO!
Dini ya kiislam kutoka kwa waarab, imekuwa ikiendeshwa na waislam ikiwa na utawala wa kati, BAKWATA, ambao makao makuu yake ni hapahapa Tanzania, japo kwa waislam kwa ujumla, kila msikiti ni kama taasisi inayojitegemea na sio kila muislam au msikiti upo chini ya BAKWATA kiviile!
Ukristo una madhehebu mengi, lakini kubwa na lenye ushawishi mkubwa ni dhehebu la wakatoliki lenye makao makuu Vatican kwa Papa! ... Vatican imeulea ukatoliki Tanzania kwa muda mrefu na kuujengea nguvu za kuichumi katika sekta mbalimbali ikiwemo Afya na Elimu. Hili ni zuri sana maana wote tunanufaika na huduma hizi!
Tukienda mbele kidogo, sasa Vatican imeacha wakatoliki wa kila nchi wajiendeshe! Na hapo ndipo linapotaka kupasukia BOMU, maana kuendesha hiyo taasisi ni sawa na kuendesha nchi ndani ya nchi, na ndio maana mikwaruzano ya kanisa na serikali sasa inazidi kukua!
HIVI MIKWARUZANO HII YA UKATOLIKI NA SERIKALI HAIWEZI KUAMSHA CHUKI BAINA YA WAKATOLIKI NA WAISLAM AMBAO UENDESHAJI WA DINI YAO, KIUCHUMI, HAUTEGEMEANI SANA NA SERA ZA KIUCHUMI ZA SERIKALI? HILI NI BOMU JAMANI!
TUJADILI KISAYANSI!
INAFIKIRISHA!..Ccm ndio inaendekeza udini.
..Raisi akiwa Mkristo anakuwa karibu na dini yake halafu Waislamu wanashutumiwa kuwa ni wadini.
..Raisi akiwa Muislamu anaungana na wa dini yake na Wakristo wanashutumiwa kwa udini.
..Bila kuwaondosha Ccm hii nchi inaweza kuparaganyika.
... Nyiye wengine ndo mmekazana, kila uchaguzi ukikaribia, kutugawa TIMU KOBAZI na TIMU N'DUDU ili sera zenu zieleweke!Mimi ni Mkatoliki. Ila siku zote nimekuwa nikisimama na yeyote yule anaye simama kwenye kutetea maslahi ya Taifa. Na haishangazi kunikuta ninamuunga mkono Sheikh Ponda Issa Ponda, Shura ya Maimamu, nk. Kwa sababu mara nyingi wamesimama kwenye kutetea haki, uhuru, usawa, nk.
Hivyo hivyo na Waislam mnatakiwa kuwaunga mkono Maaskofu wa Katoliki kwenye matamko yao kama yana maslahi kwa Taifa, au la! Na siyo kujenga chuki za kidini kwa kuamini ya kwamba matamko yao yanamlenga Rais Muislam! Na wakati hata wakati Rais alipokuwa Mkatoliki, bado hao Maaskofu walimkosoa hadharani pale alipo kengeuka! Na Ushahidi upo.
Wana ***** ***** sana hao waabudu masanamu rais akiwa muislam tu makelele mengi yale yaliyofanyika enzi za mwenda zake mbona tulikua hatusikii makelele kama sasa kila kiongozi wa waabudu masanamu anatoa tamko wao waendelee kula sadaka huko halafu kitu kinachowauma rais ni mwanamke halafu muislam aiseee wanaumia sanaBOMU LINAHESABU KINYUMENYUME!
Wakoloni wetu walituacha wamepandikiza mabomu ambayo, walijua au hawakujua, kuna muda yatalipuka! ... Rwanda walikuwa na dini moja lakini wakagawanywa kwa koo zao na baada ya muda wakalipuka!
.... TANZANIA!
Tumejitahidi sana, tokea tunapata uhuru, kusahau tofauti za makabila na koo zetu ili kutunza amani na utulivu wetu, na, kwa bahati, kwakuwa koo na makabila ni mengi sana, TUMEFANIKIWA!
JINAMIZI la Tanzania linataka kuibukia tusipotarajia kabisa, yaani kulekule tulipoweka matumaini yetu kuwa kuna viongozi wetu wa kiroho wanaojali usalama wetu kama taifa sasa ndiko moto unapotaka kulipukia! SABABU NDIPO ULIPO MGAWANYIKO WETU UNAOTUGAWA KIRAHISI SANA NA KUUNDA MAPANDE MAWILI TU HASIMU!
Tanzania tumerithi dini mbili kuu, UISLAM NA UKRISTO!
Dini ya kiislam kutoka kwa waarab, imekuwa ikiendeshwa na waislam ikiwa na utawala wa kati, BAKWATA, ambao makao makuu yake ni hapahapa Tanzania, japo kwa waislam kwa ujumla, kila msikiti ni kama taasisi inayojitegemea na sio kila muislam au msikiti upo chini ya BAKWATA kiviile!
Ukristo una madhehebu mengi, lakini kubwa na lenye ushawishi mkubwa ni dhehebu la wakatoliki lenye makao makuu Vatican kwa Papa! ... Vatican imeulea ukatoliki Tanzania kwa muda mrefu na kuujengea nguvu za kuichumi katika sekta mbalimbali ikiwemo Afya na Elimu. Hili ni zuri sana maana wote tunanufaika na huduma hizi!
Tukienda mbele kidogo, sasa Vatican imeacha wakatoliki wa kila nchi wajiendeshe! Na hapo ndipo linapotaka kupasukia BOMU, maana kuendesha hiyo taasisi ni sawa na kuendesha nchi ndani ya nchi, na ndio maana mikwaruzano ya kanisa na serikali sasa inazidi kukua!
HIVI MIKWARUZANO HII YA UKATOLIKI NA SERIKALI HAIWEZI KUAMSHA CHUKI BAINA YA WAKATOLIKI NA WAISLAM AMBAO UENDESHAJI WA DINI YAO, KIUCHUMI, HAUTEGEMEANI SANA NA SERA ZA KIUCHUMI ZA SERIKALI? HILI NI BOMU JAMANI!
TUJADILI KISAYANSI!
... kuna wakati natamani sana kujiunga na Kiranga !Kweli kabisa, hizi dini mbili za kipuuzi ndiyo laana yetu sisi Waafrika na sio Watanzania tu. Tumejirithisha imani za watu wengine wasio na maana kwetu, halafu utawasikia viongozi wajinga eti wanatuambia tuwalee watoto wetu kwenye misingi ya kidini, for what wakati hizo dini si zetu?
Nice 116TNaskia deni la taifa eti limefikia 108 trillions hadi juzi...😐 ndio maana nasemaga, mavi hayana miiba lakini ukiyakanyaga lazima utachechemea tu...😶
Witch Doctor siku hizi tume'fall apart'! ... NATUMAINI NI KWA MUDA TU NA BAADHI YA MADA!Nice 116T