Dini zina shida gani? mnaambiwa mtende haki kwa kufanya mabadilikobya kuondoa manung'uniko mnakuja kulaumu diniKweli kabisa, hizi dini mbili za kipuuzi ndiyo laana yetu sisi Waafrika na sio Watanzania tu. Tumejirithisha imani za watu wengine wasio na maana kwetu, halafu utawasikia viongozi wajinga eti wanatuambia tuwalee watoto wetu kwenye misingi ya kidini, for what wakati hizo dini si zetu?
Mbaya sana hiiNaskia deni la taifa eti limefikia 108 trillions hadi juzi...😐 ndio maana nasemaga, mavi hayana miiba lakini ukiyakanyaga lazima utachechemea tu...😶
... mifumo mibovu inapowabeba wako KIMYA!Dini zina shida gani? mnaambiwa mtende haki kwa kufanya mabadilikobya kuondoa manung'uniko mnakuja kulaumu dini
T 116Naskia deni la taifa eti limefikia 108 trillions hadi juzi...😐 ndio maana nasemaga, mavi hayana miiba lakini ukiyakanyaga lazima utachechemea tu...😶
Mimi ni Mkatoliki. Ila siku zote nimekuwa nikisimama na yeyote yule anaye simama kwenye kutetea maslahi ya Taifa. Na haishangazi kunikuta ninamuunga mkono Sheikh Ponda Issa Ponda, Shura ya Maimamu, nk. Kwa sababu mara nyingi wamesimama kwenye kutetea haki, uhuru, usawa, nk.
Hivyo hivyo na Waislam mnatakiwa kuwaunga mkono Maaskofu wa Katoliki kwenye matamko yao kama yana maslahi kwa Taifa, au la! Na siyo kujenga chuki za kidini kwa kuamini ya kwamba matamko yao yanamlenga Rais Muislam! Na wakati hata wakati Rais alipokuwa Mkatoliki, bado hao Maaskofu walimkosoa hadharani pale alipo kengeuka! Na ushahidi upo.
... mifumo mibovu inapowabeba wako KIMYA!Tatizo la Waislamu ni ulalamishi tu.
Rais akiwa Mwislamu, waislamu wengi huwa wanachukua upande bila kujali anafanya vizuri au la. Rais akiwa Mkristo wanabaki kulalamika tu bila hoja ya msingi na kusingizia Mfumo Kiristo. Leo wameusahau huo mfumo. Wataukumbuka tena Rais mkristo akiingia madarani.
Nenonhaki ni kufanyiwa wao tu mbona hawahubir haki kwa waislamu mfano waiambie serikali sisi mnatupa ruzuku za mahospitali na shule na waislamu wapeni au kwa nn wasiambie serikali kilio cha waislam ni mahakama ya kaadhi au kujiunga oic sasa wapeni neno haki ni kufagiliwa nyia wakristo ndo tafsir yao kama mtoa mada na ss hatukai kimya ni bomb linalosubr kulipukaHilo la udini wala halihusiani na wakoloni. Ni uroho tu wa viongozi wetu ndio unaleta haya yote. Kwanini wasitende haki? Maandiko yanasema "Haki huinua Taifa, bali Dhambi ni aibu ya watu wowote" Karibia nchi hii itapata Aibu kubwa sana kwa kukataa Haki!
Hamna mgogoro wowote wa dini zaidi sana ni siasa zisizozingatia maslahi ya wengi, haki na amani kwa kundi kubwa.BOMU LINAHESABU KINYUMENYUME!
Wakoloni wetu walituacha wamepandikiza mabomu ambayo, walijua au hawakujua, kuna muda yatalipuka! ... Rwanda walikuwa na dini moja lakini wakagawanywa kwa koo zao na baada ya muda wakalipuka!
.... TANZANIA!
Tumejitahidi sana, tokea tunapata uhuru, kusahau tofauti za makabila na koo zetu ili kutunza amani na utulivu wetu, na, kwa bahati, kwakuwa koo na makabila ni mengi sana, TUMEFANIKIWA!
JINAMIZI la Tanzania linataka kuibukia tusipotarajia kabisa, yaani kulekule tulipoweka matumaini yetu kuwa kuna viongozi wetu wa kiroho wanaojali usalama wetu kama taifa sasa ndiko moto unapotaka kulipukia! SABABU NDIPO ULIPO MGAWANYIKO WETU UNAOTUGAWA KIRAHISI SANA NA KUUNDA MAPANDE MAWILI TU HASIMU!
Tanzania tumerithi dini mbili kuu, UISLAM NA UKRISTO!
Dini ya kiislam kutoka kwa waarab, imekuwa ikiendeshwa na waislam ikiwa na utawala wa kati, BAKWATA, ambao makao makuu yake ni hapahapa Tanzania, japo kwa waislam kwa ujumla, kila msikiti ni kama taasisi inayojitegemea na sio kila muislam au msikiti upo chini ya BAKWATA kiviile!
Ukristo una madhehebu mengi, lakini kubwa na lenye ushawishi mkubwa ni dhehebu la wakatoliki lenye makao makuu Vatican kwa Papa! ... Vatican imeulea ukatoliki Tanzania kwa muda mrefu na kuujengea nguvu za kuichumi katika sekta mbalimbali ikiwemo Afya na Elimu. Hili ni zuri sana maana wote tunanufaika na huduma hizi!
Tukienda mbele kidogo, sasa Vatican imeacha wakatoliki wa kila nchi wajiendeshe! Na hapo ndipo linapotaka kupasukia BOMU, maana kuendesha hiyo taasisi ni sawa na kuendesha nchi ndani ya nchi, na ndio maana mikwaruzano ya kanisa na serikali sasa inazidi kukua!
HIVI MIKWARUZANO HII YA UKATOLIKI NA SERIKALI HAIWEZI KUAMSHA CHUKI BAINA YA WAKATOLIKI NA WAISLAM AMBAO UENDESHAJI WA DINI YAO, KIUCHUMI, HAUTEGEMEANI SANA NA SERA ZA KIUCHUMI ZA SERIKALI? HILI NI BOMU JAMANI!
TUJADILI KISAYANSI!
... mifumo mibovu inapowabeba wako KIMYA!Hamna mgogoro wowote wa dini zaidi sana ni siasa zisizozingatia maslahi ya wengi, haki na amani kwa kundi kubwa.
Acheni kupotosha.
Tuanze na MOu ya serikali na kanisa wakusanye vzr visadaka vyao... mifumo mibovu inapowabeba wako KIMYA!
KWAKWELI NI MUDA SASA TUFUMUE KILA KITU NA KUSUKA UPYA BILA KU'REFER'REFER' ZILIPENDWA!
Kuita dini za wenzio kuwa ni za kipuuzi, NI SEHEMU YA BOMU alilolizungumzia mtoa mada..!!!Kweli kabisa, hizi dini mbili za kipuuzi ndiyo laana yetu sisi Waafrika na sio Watanzania tu. Tumejirithisha imani za watu wengine wasio na maana kwetu, halafu utawasikia viongozi wajinga eti wanatuambia tuwalee watoto wetu kwenye misingi ya kidini, for what wakati hizo dini si zetu?
Wale wanaotuhimiza tumwabudu Mungu ndio wako front line kwenye utekaji, ufisadi, wizi, na uharamia wa kila aina.... kuna wakati natamani sana kujiunga na Kiranga !
HAhahahah...Naskia deni la taifa eti limefikia 108 trillions hadi juzi...😐 ndio maana nasemaga, mavi hayana miiba lakini ukiyakanyaga lazima utachechemea tu...😶
... mifumo mibovu inapowabeba wako KIMYA!
KWAKWELI NI MUDA SASA TUFUMUE KILA KITU NA KUSUKA UPYA BILA KU'REFER'REFER' ZILIPENDWA!
Ila hapana mimi kwangu naona waislam ndio wenye shida kubwa saba wakristi wala hatuna shida mara zote nchi ikishikwa na wakristo huwa inatulia sana ila sio hawa viazi na ndio kundi lenye mafisadi na wezi wengi sana..Ccm ndio inaendekeza udini.
..Raisi akiwa Mkristo anakuwa karibu na dini yake halafu Waislamu wanashutumiwa kuwa ni wadini.
..Raisi akiwa Muislamu anaungana na wa dini yake na Wakristo wanashutumiwa kwa udini.
..Bila kuwaondosha Ccm hii nchi inaweza kuparaganyika.
Walikwapua hela bank wakazipeleka kanisani huko hawakusema wala hawasemi na isitoshe kila baba yao wakamjazia kwenye acxountWale wanaotuhimiza tumwabudu Mungu ndio wako front line kwenye utekaji, ufisadi, wizi, na uharamia wa kila aina.
Huwa nafikiri hawa jamaa wana siri kwamba hakuna Mungu wala Mbingu ila wanatudanganya sisi tu
Ukiwaona sasa wanavyojaa makanisani na misikitini huwezi kuamini.
INAFIKIRISHA!Ni ujinga tu wa watu. Hivi ni Waislamu wangapi wanafaidika Rais akiwa Mwislamu au ni Wakristo wangapi wanafaidika Rais akiwa Mkristo?