Asante mkuu, tatizo nilikua mbali kidogo na TiVii😊T 116
UnajidanganyaUdini bado hauna nguvu.
Unapotosha, Kodi bandari hukusanywa na TRA. Labda sasa useme TRA nayo kapewa DP world leo. TRA bado hypo bandariniNinachojua binafsi!
TEC kama TEC ilikua na maslahi makubwa sana na Bandari coz mizigo ya kanisa ilipita bila Kodi pale bandarini!
Sasa baada ya DP world kuingia mzigoni bila kujali tunanyonywa au hatunyonywi nankampuni hiyo!Mizigo yote lazima ilipe kodi !ndio chanzo Cha makelele yote!japo kelele Zina ukweli kwamba tunanyonywa lakini kwao dp world ni kipigo!!
Naandika haya coz najua watz tumenyonywa kwa muda mrefu sana kimaisha nankodi lakini TEC walikua kimya TU!mzigo was maisha ya mtz wa chini haijawahi kuwa agenda yao tangu mwanzo!
Kwanini Leo bandari makelele yawe mengi!!?
Tujaribunkadri tunavyoweza kuounguza hiyo mikwaruzano kwani kwa sasa chuki kwa waislamu naiona inapanda nami ni mwislamu lakini Tanzania kwanzaBOMU LINAHESABU KINYUMENYUME!
Wakoloni wetu walituacha wamepandikiza mabomu ambayo, walijua au hawakujua, kuna muda yatalipuka! ... Rwanda walikuwa na dini moja lakini wakagawanywa kwa koo zao na baada ya muda wakalipuka!
.... TANZANIA!
Tumejitahidi sana, tokea tunapata uhuru, kusahau tofauti za makabila na koo zetu ili kutunza amani na utulivu wetu, na, kwa bahati, kwakuwa koo na makabila ni mengi sana, TUMEFANIKIWA!
JINAMIZI la Tanzania linataka kuibukia tusipotarajia kabisa, yaani kulekule tulipoweka matumaini yetu kuwa kuna viongozi wetu wa kiroho wanaojali usalama wetu kama taifa sasa ndiko moto unapotaka kulipukia! SABABU NDIPO ULIPO MGAWANYIKO WETU UNAOTUGAWA KIRAHISI SANA NA KUUNDA MAPANDE MAWILI TU HASIMU!
Tanzania tumerithi dini mbili kuu, UISLAM NA UKRISTO!
Dini ya kiislam kutoka kwa waarab, imekuwa ikiendeshwa na waislam ikiwa na utawala wa kati, BAKWATA, ambao makao makuu yake ni hapahapa Tanzania, japo kwa waislam kwa ujumla, kila msikiti ni kama taasisi inayojitegemea na sio kila muislam au msikiti upo chini ya BAKWATA kiviile!
Ukristo una madhehebu mengi, lakini kubwa na lenye ushawishi mkubwa ni dhehebu la wakatoliki lenye makao makuu Vatican kwa Papa! ... Vatican imeulea ukatoliki Tanzania kwa muda mrefu na kuujengea nguvu za kuichumi katika sekta mbalimbali ikiwemo Afya na Elimu. Hili ni zuri sana maana wote tunanufaika na huduma hizi!
Tukienda mbele kidogo, sasa Vatican imeacha wakatoliki wa kila nchi wajiendeshe! Na hapo ndipo linapotaka kupasukia BOMU, maana kuendesha hiyo taasisi ni sawa na kuendesha nchi ndani ya nchi, na ndio maana mikwaruzano ya kanisa na serikali sasa inazidi kukua!
Hivi mikwaruzano hii ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam ambao uendeshaji wa dini yao, kiuchumi, hautegemeani sana na sera za kiuchumi za serikali? Hili ni bomu jamani.
TUJADILI KISAYANSI!
HAKI HAKI HAKI,Hilo la udini wala halihusiani na wakoloni. Ni uroho tu wa viongozi wetu ndio unaleta haya yote. Kwanini wasitende haki? Maandiko yanasema "Haki huinua Taifa, bali Dhambi ni aibu ya watu wowote" Karibia nchi hii itapata Aibu kubwa sana kwa kukataa Haki!
Kwa kuwe na chuki kwa watu wa dini pale serikali inapokosolewa?Tujaribunkadri tunavyoweza kuounguza hiyo mikwaruzano kwani kwa sasa chuki kwa waislamu naiona inapanda nami ni mwislamu lakini Tanzania kwanza
Mikwaruzano ya leo ni chimbuko la mifumo mibovu aliyoijenga Magufuri akishirikiana na akina Samiah,Biteko,Job Ndugai,Kailima,Biswalo,Paramagamba Kabudi,Philp Mpango,Polepole,Gwajima,Mwigulu Nchemba na Bashir Ally.Hawa waliingiza UKABILA NA UKANDA Tanzania.Pia walitengeneza MFUMO WA KIBAGUZI WA KISIASA ambapo mpinzani yeyote alipewa kesi za MHAMIAJI HARAMU,KIBARAKA WA MABEBERU,VYETI FEKI,MAFISADI,WAVIVU na WAVUTA BANGI PIA WAUZA MIHADARATI.BOMU LINAHESABU KINYUMENYUME!
Wakoloni wetu walituacha wamepandikiza mabomu ambayo, walijua au hawakujua, kuna muda yatalipuka! ... Rwanda walikuwa na dini moja lakini wakagawanywa kwa koo zao na baada ya muda wakalipuka!
.... TANZANIA!
Tumejitahidi sana, tokea tunapata uhuru, kusahau tofauti za makabila na koo zetu ili kutunza amani na utulivu wetu, na, kwa bahati, kwakuwa koo na makabila ni mengi sana, TUMEFANIKIWA!
JINAMIZI la Tanzania linataka kuibukia tusipotarajia kabisa, yaani kulekule tulipoweka matumaini yetu kuwa kuna viongozi wetu wa kiroho wanaojali usalama wetu kama taifa sasa ndiko moto unapotaka kulipukia! SABABU NDIPO ULIPO MGAWANYIKO WETU UNAOTUGAWA KIRAHISI SANA NA KUUNDA MAPANDE MAWILI TU HASIMU!
Tanzania tumerithi dini mbili kuu, UISLAM NA UKRISTO!
Dini ya kiislam kutoka kwa waarab, imekuwa ikiendeshwa na waislam ikiwa na utawala wa kati, BAKWATA, ambao makao makuu yake ni hapahapa Tanzania, japo kwa waislam kwa ujumla, kila msikiti ni kama taasisi inayojitegemea na sio kila muislam au msikiti upo chini ya BAKWATA kiviile!
Ukristo una madhehebu mengi, lakini kubwa na lenye ushawishi mkubwa ni dhehebu la wakatoliki lenye makao makuu Vatican kwa Papa! ... Vatican imeulea ukatoliki Tanzania kwa muda mrefu na kuujengea nguvu za kuichumi katika sekta mbalimbali ikiwemo Afya na Elimu. Hili ni zuri sana maana wote tunanufaika na huduma hizi!
Tukienda mbele kidogo, sasa Vatican imeacha wakatoliki wa kila nchi wajiendeshe! Na hapo ndipo linapotaka kupasukia BOMU, maana kuendesha hiyo taasisi ni sawa na kuendesha nchi ndani ya nchi, na ndio maana mikwaruzano ya kanisa na serikali sasa inazidi kukua!
Hivi mikwaruzano hii ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam ambao uendeshaji wa dini yao, kiuchumi, hautegemeani sana na sera za kiuchumi za serikali? Hili ni bomu jamani.
TUJADILI KISAYANSI!
Sasa Mama Samiah anatembelea mumo humo kwa kunyanyasa WAPINZANI hasa hasa kujikita sana kuineemesha Zanzibar na Waarabu pia kutengeneza himaya ya UISLAM Tanzania.BOMU LINAHESABU KINYUMENYUME!
Wakoloni wetu walituacha wamepandikiza mabomu ambayo, walijua au hawakujua, kuna muda yatalipuka! ... Rwanda walikuwa na dini moja lakini wakagawanywa kwa koo zao na baada ya muda wakalipuka!
.... TANZANIA!
Tumejitahidi sana, tokea tunapata uhuru, kusahau tofauti za makabila na koo zetu ili kutunza amani na utulivu wetu, na, kwa bahati, kwakuwa koo na makabila ni mengi sana, TUMEFANIKIWA!
JINAMIZI la Tanzania linataka kuibukia tusipotarajia kabisa, yaani kulekule tulipoweka matumaini yetu kuwa kuna viongozi wetu wa kiroho wanaojali usalama wetu kama taifa sasa ndiko moto unapotaka kulipukia! SABABU NDIPO ULIPO MGAWANYIKO WETU UNAOTUGAWA KIRAHISI SANA NA KUUNDA MAPANDE MAWILI TU HASIMU!
Tanzania tumerithi dini mbili kuu, UISLAM NA UKRISTO!
Dini ya kiislam kutoka kwa waarab, imekuwa ikiendeshwa na waislam ikiwa na utawala wa kati, BAKWATA, ambao makao makuu yake ni hapahapa Tanzania, japo kwa waislam kwa ujumla, kila msikiti ni kama taasisi inayojitegemea na sio kila muislam au msikiti upo chini ya BAKWATA kiviile!
Ukristo una madhehebu mengi, lakini kubwa na lenye ushawishi mkubwa ni dhehebu la wakatoliki lenye makao makuu Vatican kwa Papa! ... Vatican imeulea ukatoliki Tanzania kwa muda mrefu na kuujengea nguvu za kuichumi katika sekta mbalimbali ikiwemo Afya na Elimu. Hili ni zuri sana maana wote tunanufaika na huduma hizi!
Tukienda mbele kidogo, sasa Vatican imeacha wakatoliki wa kila nchi wajiendeshe! Na hapo ndipo linapotaka kupasukia BOMU, maana kuendesha hiyo taasisi ni sawa na kuendesha nchi ndani ya nchi, na ndio maana mikwaruzano ya kanisa na serikali sasa inazidi kukua!
Hivi mikwaruzano hii ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam ambao uendeshaji wa dini yao, kiuchumi, hautegemeani sana na sera za kiuchumi za serikali? Hili ni bomu jamani.
TUJADILI KISAYANSI!
FACT..Ccm ndio inaendekeza udini.
..Raisi akiwa Mkristo anakuwa karibu na dini yake halafu Waislamu wanashutumiwa kuwa ni wadini.
..Raisi akiwa Muislamu anaungana na wa dini yake na Wakristo wanashutumiwa kwa udini.
..Bila kuwaondosha Ccm hii nchi inaweza kuparaganyika.
Tulia hivyo hivyo sindani ikuingie vizuriWana ***** ***** sana hao waabudu masanamu rais akiwa muislam tu makelele mengi yale yaliyofanyika enzi za mwenda zake mbona tulikua hatusikii makelele kama sasa kila kiongozi wa waabudu masanamu anatoa tamko wao waendelee kula sadaka huko halafu kitu kinachowauma rais ni mwanamke halafu muislam aiseee wanaumia sana
Ukweli ndiyo huoTatizo ni CCM
PUMBAVUU.Na hilo ndiyo tatizo kubwa ambalo Wakristo wengi hata mimi mwenyewe hatutaki huo upuuzi.Nenonhaki ni kufanyiwa wao tu mbona hawahubir haki kwa waislamu mfano waiambie serikali sisi mnatupa ruzuku za mahospitali na shule na waislamu wapeni au kwa nn wasiambie serikali kilio cha waislam ni mahakama ya kaadhi au kujiunga oic sasa wapeni neno haki ni kufagiliwa nyia wakristo ndo tafsir yao kama mtoa mada na ss hatukai kimya ni bomb linalosubr kulipuka
Hii ni kutaka kutuhadaa na uongo. Magufuli alikosea alikua raisi mbovu, anapaswa kuhukumiwa hivyo. Lakini kusema katengeneza mifumo mibovu ambayo inafanya wa sasa wafanye hivyo, huo ni uongoMikwaruzano ya leo ni chimbuko la mifumo mibovu aliyoijenga Magufuri akishirikiana na akina Samiah,Biteko,Job Ndugai,Kailima,Biswalo,Paramagamba Kabudi,Philp Mpango,Polepole,Gwajima,Mwigulu Nchemba na Bashir Ally.Hawa waliingiza UKABILA NA UKANDA Tanzania.Pia walitengeneza MFUMO WA KIBAGUZI WA KISIASA ambapo mpinzani yeyote alipewa kesi za MHAMIAJI HARAMU,KIBARAKA WA MABEBERU,VYETI FEKI,MAFISADI,WAVIVU na WAVUTA BANGI PIA WAUZA MIHADARATI.
Soma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 ibara ya 12 na 13(1)(2)na (5).Mtawala anaweza kutenda haki hata kama hana dini ,ila suala la kuipa dini moja kwamba sjui majasusi ni uongo 😂😂huo ujasusi umejitokea hapa baada ya uhuru ..Kiufupi hata ufanye mkoa wa Ruvuma kuwa nchi watajiendesha na kuendelea ,hata uchukue mkoa wa shinyanga wanweza kuwa kama nchi bila ya kufa njaa.
Kitendo cha watu fulani kujifanya wanaijua dunia ni hatari sana ...Overall, kila mtu ana haki kwa vile tunategemeana...Kule sudan na Congo si waliganyika ila maisha yanendelea .
Kiufupi ,hauwezi kujifanya uko juu dhidi ya wengine kila jamii na taratibu zao ni bora na wanaweza kujiendesha bila ya msaaada.
Kitendo cha kutaka kuharibu amani kwa matamko ya kifitna ni suala la kithenge ,bora hivi kuliko vita ; havina faida hata moja.
Mkuu, chondechonde usichukue maandiko kwenye Biblia ukayafanyia direct translation kuja kwenye ulimwengu wa mwili. Tuuache ulimwengu wa roho u operate vile unatakiwa na wa mwili nao u operate. Hawa viongozi wetu sio Malaika, Maaskofu nk. Hawa ni BInadamu wanaoongoza binadamu kupitia mambo ya kimwili tu - wamekaa ki kaisari kaisari. Ndiyo maana hata kule Israel na Iran kwenye kitovu cha dini - Matatizo ya kibinadamu ni kibao, vita havikomi, watu wanakufa kila siku sometimes with no tangible cause... Kuna namna tunataka kuupaka matope ulimwengu wa roho kwa kuleta misingi ya kuogozana kimwili....Hilo la udini wala halihusiani na wakoloni. Ni uroho tu wa viongozi wetu ndio unaleta haya yote. Kwanini wasitende haki? Maandiko yanasema "Haki huinua Taifa, bali Dhambi ni aibu ya watu wowote" Karibia nchi hii itapata Aibu kubwa sana kwa kukataa Haki!