Hii mikwaruzano ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam?

divide and rule theory inatekelezwa na viongozi wa SERIKALI wenyewe.... TANZANIA ina matahira machache sana yenye fikra za udini na ukabila,.... tatizo ni viongozi wa SERIKALI wenyewe wanatafuta makundi ya kuwapigia makofi hata kwenye madudu wanayoyafanya,....
 
hawa wazungu mnawasingizia mambo mengi sana, hivi unajua kwamba wazungu wamekaa hapa kwa miaka 50 tu, yes miaka 50, sasa ,miaka 50 ndiyo umvishe lawama zako zooote za kushindwa kwako? kwani kabla ya Christians kuja tulikuwa na hali gani hadi usingizie Christians waliokaa miaka 50 tu for everything that goes wrong in your life? ...
Umefafanua vema mkuu
 
siyo kweli raisi Christian siku zote kihistoria amekuwa vuguvugu na ndiyo maana wote huvaa kanzu na vibarakashea alivaa Nyerere, Mkapa hata Magufuli alivaa kanzu mpaka akina Mbowe huvaa kanzu au huvaa kama Muslims ulishawahi kusikia Muslims wakijipendekeza kuwa Christians? kuna wengine (Christians) huenda mbali hadi kufuturisha wakati wa ramadhani uliwashi kusikia Muslim akiwatakia Christians Kwaresma njema au Pasaka njema?

kama raisi Christian wote kweli wangekuwa karibu na Christians kama ulivyoandika nchi hii leo hii ingekuwa mbali sana kimaendeleo, tuko hapa sababu ya kukumbatia na kujaribu kuwaridhisha Muslims wakati wao wakiwa na power hawafanyi hivyo hata kenya wanafanya same mistake watakuja juta, kenya muslims ni 5% tu ya population lkn wako overrepresented kila mahli kuanzia jeshini, usalama, media business ndiyo usiseme.

war on Christianity is real ...
Safi sana ndugu yangu Waislam wanataka waabudiwe tu wao.Mfano mimi nina sherehe nikichinja kuku hawezi kula mpaka yeye aje achinje ndiyo tule wote.Mimi sifanyi huo upuuzi kama hataki akae hivyo hivyo kwake kwa nini tupangiane maisha???Upendo wa kulazimisha siyo upendo bali ni unafiki tu.
 
Wana ***** ***** sana hao waabudu masanamu rais akiwa muislam tu makelele mengi yale yaliyofanyika enzi za mwenda zake mbona tulikua hatusikii makelele kama sasa kila kiongozi wa waabudu masanamu anatoa tamko wao waendelee kula sadaka huko halafu kitu kinachowauma rais ni mwanamke halafu muislam aiseee wanaumia sana
Wewe itakuwa mgeni wa nchi hii au ni mdini. Tafuta waraka wa maaskofu kwa serikali. Mpaka maaskofu wengine Wakanyanganywa passport.
 
Wana ***** ***** sana hao waabudu masanamu rais akiwa muislam tu makelele mengi yale yaliyofanyika enzi za mwenda zake mbona tulikua hatusikiAi makelele kama sasa kila kiongozi wa waabudu masanamu anatoa tamko wao waendelee kula sadaka huko halafu kitu kinachowauma rais ni mwanamke halafu muislam aiseee wanaumia sana
unamfaham askof shoo ?Askof kabobe ?Askof severin niwemugizi ? Askof bagonza Ebu wafuatilie enzi za Jpm walikuwaje then lete mrejesho
 
Amani ya nchi inachezewa,vita ya udini ni time bomb,likija kulipuka hakuna atakayebaki salama.Serikali ijaribu kadiri iwezavyo kukaa mbali na mizozo inayohusisha dini,ni hatari sana....
 
Dawa itakuingia ww ambaye unamchukia rais ambaye atakuongoza miaka mitano ijayo sasa mimi na ww nani dawa inamuingia mi nasubiri tarehe 29 nikampigie kura Samia
Rafiki mwambie aendelee kutawala tu kwani ni kwa faida yake na familia yake na ukoo wake wa Zanzibar lakini mimi kwangu hana faida yoyote.
 
BOMU LINAHESABU KINYUMENYUME!
Wakoloni wetu walituacha wamepandikiza mabomu ambayo, walijua au hawakujua, kuna muda yatalipuka! ... Rwanda walikuwa na dini moja lakini wakagawanywa kwa koo zao na baada ya muda wakalipuka!
....
TANZANIA!

Tumejitahidi sana, tokea tunapata uhuru, kusahau tofauti za makabila na koo zetu ili kutunza amani na utulivu wetu, na, kwa bahati, kwakuwa koo na makabila ni mengi sana, TUMEFANIKIWA!

JINAMIZI la Tanzania linataka kuibukia tusipotarajia kabisa, yaani kulekule tulipoweka matumaini yetu kuwa kuna viongozi wetu wa kiroho wanaojali usalama wetu kama taifa sasa ndiko moto unapotaka kulipukia! SABABU NDIPO ULIPO MGAWANYIKO WETU UNAOTUGAWA KIRAHISI SANA NA KUUNDA MAPANDE MAWILI TU HASIMU!
Tanzania tumerithi dini mbili kuu, UISLAM NA UKRISTO!

Dini ya kiislam kutoka kwa waarab, imekuwa ikiendeshwa na waislam ikiwa na utawala wa kati, BAKWATA, ambao makao makuu yake ni hapahapa Tanzania, japo kwa waislam kwa ujumla, kila msikiti ni kama taasisi inayojitegemea na sio kila muislam au msikiti upo chini ya BAKWATA kiviile!

Ukristo una madhehebu mengi, lakini kubwa na lenye ushawishi mkubwa ni dhehebu la wakatoliki lenye makao makuu Vatican kwa Papa! ... Vatican imeulea ukatoliki Tanzania kwa muda mrefu na kuujengea nguvu za kuichumi katika sekta mbalimbali ikiwemo Afya na Elimu. Hili ni zuri sana maana wote tunanufaika na huduma hizi!

Tukienda mbele kidogo, sasa Vatican imeacha wakatoliki wa kila nchi wajiendeshe! Na hapo ndipo linapotaka kupasukia BOMU, maana kuendesha hiyo taasisi ni sawa na kuendesha nchi ndani ya nchi, na ndio maana mikwaruzano ya kanisa na serikali sasa inazidi kukua!

Hivi mikwaruzano hii ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam ambao uendeshaji wa dini yao, kiuchumi, hautegemeani sana na sera za kiuchumi za serikali? Hili ni bomu jamani.

TUJADILI KISAYANSI!
Wakatoliki hatuna chuki na mtu. Tunatetea haki ya Kuishi ya watu, ambao ndio wito wa asili wa Kikristo.
Tuna makamu wa Rais Mkatoliki. Tuna Mgombea Mwenza wa CCM Mkatoliki. Tena wote hao ni mazao ya seminari zetu. Kama kanisa lingekua linaongozwa kwa Itikadi na mawazo kama yako, Kanisa Katoliki lisingekemea chochote kwani lina waumini wake hao kwenye nafasi hizo nyeti. Hata hivyo, Wajibu wa Kwanza wa Kanisa ni Kukemea, kuonya, kufundisha, kuombea na kuponya Taifa. Ni katika kutekeleza hayo, mara nyingi kanisa huonekana kuwa kinyume na watawala ambao kimsingi huyanyanyasa makundi ya walio wachache na wasio na nguvu. Toka Mwanzo mpaka Ufunuo, hakuna mahali serikali ilikubaliana na dini. Hata Yesu Mwenyewe, alizichallenge mara kadhaa mamlaka. Na ndio maana hata mateso yake yaliendeshwa Kisiasa. Ukiona Kanisa lime align na Serikali jua kuwa, KANISA LIMETELEKEZA JUKUMU LAKE LA MSINGI, LA KUHUBIRI KWELI ITENDAYO HAKI.
 
BOMU LINAHESABU KINYUMENYUME!
Wakoloni wetu walituacha wamepandikiza mabomu ambayo, walijua au hawakujua, kuna muda yatalipuka! ... Rwanda walikuwa na dini moja lakini wakagawanywa kwa koo zao na baada ya muda wakalipuka!
....
TANZANIA!

Tumejitahidi sana, tokea tunapata uhuru, kusahau tofauti za makabila na koo zetu ili kutunza amani na utulivu wetu, na, kwa bahati, kwakuwa koo na makabila ni mengi sana, TUMEFANIKIWA!

JINAMIZI la Tanzania linataka kuibukia tusipotarajia kabisa, yaani kulekule tulipoweka matumaini yetu kuwa kuna viongozi wetu wa kiroho wanaojali usalama wetu kama taifa sasa ndiko moto unapotaka kulipukia! SABABU NDIPO ULIPO MGAWANYIKO WETU UNAOTUGAWA KIRAHISI SANA NA KUUNDA MAPANDE MAWILI TU HASIMU!
Tanzania tumerithi dini mbili kuu, UISLAM NA UKRISTO!

Dini ya kiislam kutoka kwa waarab, imekuwa ikiendeshwa na waislam ikiwa na utawala wa kati, BAKWATA, ambao makao makuu yake ni hapahapa Tanzania, japo kwa waislam kwa ujumla, kila msikiti ni kama taasisi inayojitegemea na sio kila muislam au msikiti upo chini ya BAKWATA kiviile!

Ukristo una madhehebu mengi, lakini kubwa na lenye ushawishi mkubwa ni dhehebu la wakatoliki lenye makao makuu Vatican kwa Papa! ... Vatican imeulea ukatoliki Tanzania kwa muda mrefu na kuujengea nguvu za kuichumi katika sekta mbalimbali ikiwemo Afya na Elimu. Hili ni zuri sana maana wote tunanufaika na huduma hizi!

Tukienda mbele kidogo, sasa Vatican imeacha wakatoliki wa kila nchi wajiendeshe! Na hapo ndipo linapotaka kupasukia BOMU, maana kuendesha hiyo taasisi ni sawa na kuendesha nchi ndani ya nchi, na ndio maana mikwaruzano ya kanisa na serikali sasa inazidi kukua!

Hivi mikwaruzano hii ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam ambao uendeshaji wa dini yao, kiuchumi, hautegemeani sana na sera za kiuchumi za serikali? Hili ni bomu jamani.

TUJADILI KISAYANSI!

Tofautisha serikali ya watu na Ile nyingine.

IMG_20240428_070927.jpg

Madarakani huwapo wenye ridhaa!
 
Serikali ni dude Kubwaaaa!/hao katoliki ni sisimizi tu.
 
Back
Top Bottom