Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,976
Hizi si dini zetu, ulikuwa hujuwi?Dini zina shida gani? mnaambiwa mtende haki kwa kufanya mabadilikobya kuondoa manung'uniko mnakuja kulaumu dini
Hizi si dini zetu, ulikuwa hujuwi?Dini zina shida gani? mnaambiwa mtende haki kwa kufanya mabadilikobya kuondoa manung'uniko mnakuja kulaumu dini
Exactly 💯Ila hapana mimi kwangu naona waislam ndio wenye shida kubwa saba wakristi wala hatuna shida mara zote nchi ikishikwa na wakristo huwa inatulia sana ila sio hawa viazi na ndio kundi lenye mafisadi na wezi wengi sana
Yaani akosolewe kiongozi then igeuke kuwa Agenda ya Kidini? Kwani baada ya Rais kuwa Muislam waislam wote wanaishi maisha ya peponi si wengi wao ukiondoa walioko kwenye mfumo tuko nao mjini na vijijini tukitaabika wote.Kanisa halina udini ndio maana ukienda kwenye shule,vituo au kwenye taasisi waislam nao wapo kutegemeana na eneo lakini kwenye taasisi yoyote ya kiislam huwezi mkuta mkristoBOMU LINAHESABU KINYUMENYUME!
Wakoloni wetu walituacha wamepandikiza mabomu ambayo, walijua au hawakujua, kuna muda yatalipuka! ... Rwanda walikuwa na dini moja lakini wakagawanywa kwa koo zao na baada ya muda wakalipuka!
.... TANZANIA!
Tumejitahidi sana, tokea tunapata uhuru, kusahau tofauti za makabila na koo zetu ili kutunza amani na utulivu wetu, na, kwa bahati, kwakuwa koo na makabila ni mengi sana, TUMEFANIKIWA!
JINAMIZI la Tanzania linataka kuibukia tusipotarajia kabisa, yaani kulekule tulipoweka matumaini yetu kuwa kuna viongozi wetu wa kiroho wanaojali usalama wetu kama taifa sasa ndiko moto unapotaka kulipukia! SABABU NDIPO ULIPO MGAWANYIKO WETU UNAOTUGAWA KIRAHISI SANA NA KUUNDA MAPANDE MAWILI TU HASIMU!
Tanzania tumerithi dini mbili kuu, UISLAM NA UKRISTO!
Dini ya kiislam kutoka kwa waarab, imekuwa ikiendeshwa na waislam ikiwa na utawala wa kati, BAKWATA, ambao makao makuu yake ni hapahapa Tanzania, japo kwa waislam kwa ujumla, kila msikiti ni kama taasisi inayojitegemea na sio kila muislam au msikiti upo chini ya BAKWATA kiviile!
Ukristo una madhehebu mengi, lakini kubwa na lenye ushawishi mkubwa ni dhehebu la wakatoliki lenye makao makuu Vatican kwa Papa! ... Vatican imeulea ukatoliki Tanzania kwa muda mrefu na kuujengea nguvu za kuichumi katika sekta mbalimbali ikiwemo Afya na Elimu. Hili ni zuri sana maana wote tunanufaika na huduma hizi!
Tukienda mbele kidogo, sasa Vatican imeacha wakatoliki wa kila nchi wajiendeshe! Na hapo ndipo linapotaka kupasukia BOMU, maana kuendesha hiyo taasisi ni sawa na kuendesha nchi ndani ya nchi, na ndio maana mikwaruzano ya kanisa na serikali sasa inazidi kukua!
Hivi mikwaruzano hii ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam ambao uendeshaji wa dini yao, kiuchumi, hautegemeani sana na sera za kiuchumi za serikali? Hili ni bomu jamani.
TUJADILI KISAYANSI!
Ukiongelea haki za binadamu hilo la Lisu kupigwa risasi halimo?Kumbe walikemea kuhusu corona wangekemea kuhusu lissu kupigwa risasi
Mjinga unaungana na ujinga wa watawala mnajitafutia wahuni wa kutekateka watu,badala ya kutenda haki mnatengeneza uadui na dini ya Kikristo na wakatoliki ili kutishia maisha ya raia wenzenu.Sasa hata mjinga anauona jinsi udini ulivyotawala siasa za nchi hii! KINAENDA KUWAKA 'BIG WAY' NA NDO TUTAAMKA!
🚮🚮Ukiongelea haki za binadamu hilo la Lisu kupigwa risasi halimo?
... mpaka sasa, baada ya maandamano ya 29th Oct 2025, yaliyoratibiwa na kugharamiwa na WATU, bado unaamini kuwa Samia ndo aliyemteka na kumuua Ali Kibao?😎😎😎Binafsi ni muislam lakini si faidiki na chochote kutoka kwa Samia.
Samia muislam anaua tena muislam mwenzake Ally Kibao, ndio uislam unaruhusu kuua?
The spinning that you’re trying to force won’t work.... mpaka sasa, baada ya maandamano ya 29th Oct 2025, yaliyoratibiwa na kugharamiwa na WATU, bado unaamini kuwa Samia ndo aliyemteka na kumuua Ali Kibao?
😅
Sasa hivi kila kitu DHAHIR-SHAHIR!
Mafia wana mkono mrefu sana, ... wana Polisi, wanasheria, majasusi .....!The spinning that you’re trying to force won’t work.
Ali Kibao alishushwa kwenye basi lililojaa abiria na polisi then akajakupatikana ameshauawa, polisi hawakufanya upelelezi, hawakulaani mauaji na hilo hawakulifanyia press conference(kama ilivyo kawaida yako). Ironic ni pale Samia alivyofanyia dhihaka mauaji hayo kwamba ‘kifo ni kifo tu’ so to Samia the death of Kibao was not a big deal, literary to her it was mission accomplished.
Tz haina udini ni cccm ikibanwa mbupu inajaribu kutumia bakwata ku counter hoja za tec kusudi ionekane kuna udini!....... NI MOTO WA PUMBA, CHUNGA SANA!
😳😳😳 imekuwaje tena si miezi3 tu imepita tangu tusomewe deni la taifa?Naskia deni la taifa eti limefikia 116 trillions hadi juzi...😐 ndio maana nasemaga, mavi hayana miiba lakini ukiyakanyaga lazima utachechemea tu...😶
Kuwa judgemental in moja ya signs za low intelligence, hakuna bandiko linalonitapisha mtandaoni because having different opinions is normal.Mafia wana mkono mrefu sana, ... wana Polisi, wanasheria, majasusi .....!
NB: Samahani kukukwaza maana kila bandiko langu linakutapisha!
🤣
Hiyo ndo demokrasia, TUIISHI!
Hawezi , catholic walishaweka wazi wanataka nini na adui yao si muislamBOMU LINAHESABU KINYUMENYUME!
Wakoloni wetu walituacha wamepandikiza mabomu ambayo, walijua au hawakujua, kuna muda yatalipuka! ... Rwanda walikuwa na dini moja lakini wakagawanywa kwa koo zao na baada ya muda wakalipuka!
.... TANZANIA!
Tumejitahidi sana, tokea tunapata uhuru, kusahau tofauti za makabila na koo zetu ili kutunza amani na utulivu wetu, na, kwa bahati, kwakuwa koo na makabila ni mengi sana, TUMEFANIKIWA!
JINAMIZI la Tanzania linataka kuibukia tusipotarajia kabisa, yaani kulekule tulipoweka matumaini yetu kuwa kuna viongozi wetu wa kiroho wanaojali usalama wetu kama taifa sasa ndiko moto unapotaka kulipukia! SABABU NDIPO ULIPO MGAWANYIKO WETU UNAOTUGAWA KIRAHISI SANA NA KUUNDA MAPANDE MAWILI TU HASIMU!
Tanzania tumerithi dini mbili kuu, UISLAM NA UKRISTO!
Dini ya kiislam kutoka kwa waarab, imekuwa ikiendeshwa na waislam ikiwa na utawala wa kati, BAKWATA, ambao makao makuu yake ni hapahapa Tanzania, japo kwa waislam kwa ujumla, kila msikiti ni kama taasisi inayojitegemea na sio kila muislam au msikiti upo chini ya BAKWATA kiviile!
Ukristo una madhehebu mengi, lakini kubwa na lenye ushawishi mkubwa ni dhehebu la wakatoliki lenye makao makuu Vatican kwa Papa! ... Vatican imeulea ukatoliki Tanzania kwa muda mrefu na kuujengea nguvu za kuichumi katika sekta mbalimbali ikiwemo Afya na Elimu. Hili ni zuri sana maana wote tunanufaika na huduma hizi!
Tukienda mbele kidogo, sasa Vatican imeacha wakatoliki wa kila nchi wajiendeshe! Na hapo ndipo linapotaka kupasukia BOMU, maana kuendesha hiyo taasisi ni sawa na kuendesha nchi ndani ya nchi, na ndio maana mikwaruzano ya kanisa na serikali sasa inazidi kukua!
Hivi mikwaruzano hii ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam ambao uendeshaji wa dini yao, kiuchumi, hautegemeani sana na sera za kiuchumi za serikali? Hili ni bomu jamani.
TUJADILI KISAYANSI!
Kaka si kweli, watu wanasahau tu kwa haraka....siasa za 2010 hadi 2015 zilikuwa wazi sana kuhusu tatizo hili.Udini bado hauna nguvu.