Hii mikwaruzano ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam?

Yaani akosolewe kiongozi then igeuke kuwa Agenda ya Kidini? Kwani baada ya Rais kuwa Muislam waislam wote wanaishi maisha ya peponi si wengi wao ukiondoa walioko kwenye mfumo tuko nao mjini na vijijini tukitaabika wote.Kanisa halina udini ndio maana ukienda kwenye shule,vituo au kwenye taasisi waislam nao wapo kutegemeana na eneo lakini kwenye taasisi yoyote ya kiislam huwezi mkuta mkristo
 
Sasa hata mjinga anauona jinsi udini ulivyotawala siasa za nchi hii! KINAENDA KUWAKA 'BIG WAY' NA NDO TUTAAMKA!
Mjinga unaungana na ujinga wa watawala mnajitafutia wahuni wa kutekateka watu,badala ya kutenda haki mnatengeneza uadui na dini ya Kikristo na wakatoliki ili kutishia maisha ya raia wenzenu.
Mnaoneshwa nyota mwatazama mwezi.
 
Binafsi ni muislam lakini si faidiki na chochote kutoka kwa Samia.

Samia muislam anaua tena muislam mwenzake Ally Kibao, ndio uislam unaruhusu kuua?
 
😎😎😎Binafsi ni muislam lakini si faidiki na chochote kutoka kwa Samia.

Samia muislam anaua tena muislam mwenzake Ally Kibao, ndio uislam unaruhusu kuua?
... mpaka sasa, baada ya maandamano ya 29th Oct 2025, yaliyoratibiwa na kugharamiwa na WATU, bado unaamini kuwa Samia ndo aliyemteka na kumuua Ali Kibao?
😅
Sasa hivi kila kitu DHAHIR-SHAHIR!
 
... mpaka sasa, baada ya maandamano ya 29th Oct 2025, yaliyoratibiwa na kugharamiwa na WATU, bado unaamini kuwa Samia ndo aliyemteka na kumuua Ali Kibao?
😅
Sasa hivi kila kitu DHAHIR-SHAHIR!
The spinning that you’re trying to force won’t work.
Ali Kibao alishushwa kwenye basi lililojaa abiria na polisi then akajakupatikana ameshauawa, polisi hawakufanya upelelezi, hawakulaani mauaji na hilo hawakulifanyia press conference(kama ilivyo kawaida yako). Ironic ni pale Samia alivyofanyia dhihaka mauaji hayo kwamba ‘kifo ni kifo tu’ so to Samia the death of Kibao was not a big deal, literary to her it was mission accomplished.
 
Mafia wana mkono mrefu sana, ... wana Polisi, wanasheria, majasusi .....!
NB: Samahani kukukwaza maana kila bandiko langu linakutapisha!
🤣
Hiyo ndo demokrasia, TUIISHI!
 
...... NI MOTO WA PUMBA, CHUNGA SANA!
Tz haina udini ni cccm ikibanwa mbupu inajaribu kutumia bakwata ku counter hoja za tec kusudi ionekane kuna udini!.

Kwamba kiongozi wao mbovu anapingwa eti kwasabb ni muislam, Prof Lipumba ni muislam ila majuzi hapa kaweka wazi mama ANAPWAYA, udini uko wapi hapo??!!.

Uraiani huku hakunaga cha udini...tunasoma pamoja, michezo, kuzikana nk nk
 
Naskia deni la taifa eti limefikia 116 trillions hadi juzi...😐 ndio maana nasemaga, mavi hayana miiba lakini ukiyakanyaga lazima utachechemea tu...😶
😳😳😳 imekuwaje tena si miezi3 tu imepita tangu tusomewe deni la taifa?
 
Mafia wana mkono mrefu sana, ... wana Polisi, wanasheria, majasusi .....!
NB: Samahani kukukwaza maana kila bandiko langu linakutapisha!
🤣
Hiyo ndo demokrasia, TUIISHI!
Kuwa judgemental in moja ya signs za low intelligence, hakuna bandiko linalonitapisha mtandaoni because having different opinions is normal.
Talking of Mafia, notable Mafia in TZ ni kama Kikwete and the gang(wana mtandao), jingine ni Abdul na mama yake(Samia) na timu ya wasionulikana and these two gangs work hand in hand.
These two are the most dangerous Mafia gangs in TZ.
 
Hawezi , catholic walishaweka wazi wanataka nini na adui yao si muislam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…