Hii mimba itakuwa ya nani?

Hii mimba itakuwa ya nani?

Ko inawezekana p2 ilimsaliti
Inavyoonekana Kijana A ana uchumi mzuri Ila Kijana B anaunga

Kwanini nasema hivi

Wewe sio mara yako ya kwanza kutumia P2 bila Shaka unajua ufanisi wake katika kufanya Kazi

Sasa haiwezakani umeze P2 kwa Kijana A then utake kusema mimba (ujauzito) ni wa Kijana A badala ya B
 
Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni

Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo.

Kwa maelezo yake anadai aliingia period tarehe6 mwezi wa pili tarehe16 akaenda kuonana na kijana A huyo alkuwa nae usiku mzima asubuhi wakaamkia baada ya hapo akanywa p2

Tarehe20 akaenda kuonana na kijana B wakafanya yao sasa binti amenasa na anashindwa kuelewa mimba ni ya nani japo kwa kijana A alitumia p2 ila kwa kijana B baada ya tendo hakuchukua tahadhari yoyote. Tusaidieni wakuu kwa hiyo situation ilivyo hapo mimba itakuwa ya nani?

Na je mtu anaweza tumia p2 na akapata mimba kweli yan tuseme labda p2 imemsaliti au mimba ni ya kijana B
Najua humu hakuna kinachoshindikana wakuu😁
Mwambie aitoe asitujazie wanaharam Duniani single maza waliopo wanatosha
 
Leteni huku kama kila mtu anaikwepa
 
Hiyo mimba ni yake kwa asilimia mia.

Kama alitumia p2 atafite usaidizi kwa wote wawili.
Ahudhurie clinic mbili tofauti kila mmoja ampeleke kwake.

Siku ya kujifungua asafiri mkoani akajifungue. Aandikishe cheti cha mkoani na akija Dar aandikw kingine.

Na life liendelee.
Mimba kweli ni yake asitafute mchawi, anaimiliki yeye
 
Kama tarehe umezitaja sawasawa basi kijana wa kwanza alikutana naye siku ya 10 ambayo hakuwa na sababu ya kunywa P2 ilikuwa siku salama labda kama mzunguko wake wa period ni mdogo sana.

Na kijana B alikutana naye siku ya 14 siku ya yai kupevuka, siku hatarishi saa kwa wale wasiotaka mtoto. Hivyo mimba hiyo bila ubishi ni ya B.

Sijui kwanini hakunywa P2 au alimtegeshea huyu mtu
 
Naona rafiki yako anavyoenda kutapeli hela ya kutolea mimba huko A na B wotewataambiwa Baby nina mimba .
vichwa viwakae sawa kwanza😂😂
 
Mimba yake yeye alieibeba na kwa muenendo wake chances are atakuja pewa kijana C hiyo mimba.
 
Back
Top Bottom