Hii mimba itakuwa ya nani?

Hii mimba itakuwa ya nani?

Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni

Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo.

Kwa maelezo yake anadai aliingia period tarehe6 mwezi wa pili tarehe16 akaenda kuonana na kijana A huyo alkuwa nae usiku mzima asubuhi wakaamkia baada ya hapo akanywa p2

Tarehe20 akaenda kuonana na kijana B wakafanya yao sasa binti amenasa na anashindwa kuelewa mimba ni ya nani japo kwa kijana A alitumia p2 ila kwa kijana B baada ya tendo hakuchukua tahadhari yoyote. Tusaidieni wakuu kwa hiyo situation ilivyo hapo mimba itakuwa ya nani?

Na je mtu anaweza tumia p2 na akapata mimba kweli yan tuseme labda p2 imemsaliti au mimba ni ya kijana B
Najua humu hakuna kinachoshindikana wakuu😁

P2 sio nzuri sana, matumizi yake yana madhara ya muda mrefu hasa kwenye kushika mimba baadae.

Ushauri:

-aitunze hiyo mimba

-aepuke matumizi holela ya P2, wapo ambao wanajuta kutumia P2, kwa sasa wameingia kwenye ndoa lakini mimba hawashiki.

Kila la kheri.
 
Kama tarehe umezitaja sawasawa basi kijana wa kwanza alikutana naye siku ya 10 ambayo hakuwa na sababu ya kunywa P2 ilikuwa siku salama labda kama mzunguko wake wa period ni mdogo sana.

Na kijana B alikutana naye siku ya 14 siku ya yai kupevuka, siku hatarishi saa kwa wale wasiotaka mtoto. Hivyo mimba hiyo bila ubishi ni ya B.

Sijui kwanini hakunywa P2 au alimtegeshea huyu mtu
Alitumia uzoefu. Umemsadia kitaalam zaidi.
 
Inavyoonekana Kijana A ana uchumi mzuri Ila Kijana B anaunga

Kwanini nasema hivi

Wewe sio mara yako ya kwanza kutumia P2 bila Shaka unajua ufanisi wake katika kufanya Kazi

Sasa haiwezakani umeze P2 kwa Kijana A then utake kusema mimba (ujauzito) ni wa Kijana A badala ya B
Kiuchumi wote wapo vizuri hakuna muungaji
 
Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni

Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo.

Kwa maelezo yake anadai aliingia period tarehe6 mwezi wa pili tarehe16 akaenda kuonana na kijana A huyo alkuwa nae usiku mzima asubuhi wakaamkia baada ya hapo akanywa p2

Tarehe20 akaenda kuonana na kijana B wakafanya yao sasa binti amenasa na anashindwa kuelewa mimba ni ya nani japo kwa kijana A alitumia p2 ila kwa kijana B baada ya tendo hakuchukua tahadhari yoyote. Tusaidieni wakuu kwa hiyo situation ilivyo hapo mimba itakuwa ya nani?

Na je mtu anaweza tumia p2 na akapata mimba kweli yan tuseme labda p2 imemsaliti au mimba ni ya kijana B
Najua humu hakuna kinachoshindikana wakuu😁

Mwambie apime na Hepatitis,HIV na VDRL
 
Hamna namna ya kutumia P2 bado upate mimba.

Infact hiyo tarehe 16 haikua siku ya Mimba.

Alipoenda kukitombesha tarehe 20 ndipo alipopata mimba .

Sasa alivyo na Tamaa , atawaambia wote wawili kua mimba ni yao
 
B, ovulation kwa mwanamke ambaye mzunguko wake hauko compromised hutokea siku ya 14 kutokea siku ya kwanza ya menstruation, mwambie cache umalaya.
 
Back
Top Bottom