Hii miradi siyo ya Hayati Magufuli, ni ya nchi. Waziri Makamba kuwa makini sana

Stiglers gorge was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.

Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.

Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania.

Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie
 
Hauna akili wewe na hizo tamaa zenu za kunyonya masikini mpate pesa. Mradi umebakiza kujazwa maji harafu unaleta maneno maneno yasiyokuwa na maana?
 
Hauna akili wewe na hizo tamaa zenu za kunyonya masikini mpate pesa. Mradi umebakiza kujazwa maji harafu unaleta maneno maneno yasiyokuwa na maana?
Hayo maji yanayojazwa yamefikia hatua gani?
 
Dah nifanyeje na mimi mnilipe?
 
Fetty ehh.. na Mimi nataka[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nakuelewa sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…