playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Na sisi wabongo tunajiuliza unaichukia nini INAMA wewe mkongo???Mi mwenyewe najiulizaga sana ile INAMA wanaipendea nini wabongo
Aaahsawa timu kiba
kwani unachokipenda wewe ni lazima nasi tukipende, komaa na kiba100 wenu..Mi mwenyewe najiulizaga sana ile INAMA wanaipendea nini wabongo
kwani unachokipenda wewe ni lazima nasi tukipende, komaa na kiba100 wenu..
Mi mwenyewe najiulizaga sana ile INAMA wanaipendea nini wabongo
Hahahahaaaa unaniambia au unajiambia???[emoji117]Unasumbuliwa na hisia kuliko uhalisia..
Usitutoe kwenye mjadala bosskwani unachokipenda wewe ni lazima nasi tukipende, komaa na kiba100 wenu..
Unapoanzisha mada ya kumkosoa mtu mmoja arafu ukamtaja mpinzani kama yupo zaidi yake hapo unakuwa unataka kumfanya uliemkosoa kuwa ni dhaifu kwa mpinzani wake..Usitutoe kwenye mjadala boss
Kazingua alafu biti alishatumia ktk songi fulani na hata maudhui yanafanana na huo wimbo wa zamani
Unapoanzisha mada ya kumkosoa mtu mmoja arafu ukamtaja mpinzani kama yupo zaidi yake hapo unakuwa unataka kumfanya uliemkosoa kuwa ni dhaifu kwa mpinzani wake..