playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Kila nikiisikiliza kolabo ya Diamond na Fally Ipupa(INAMA) najikuta nafurahia midundo tu na siyo uimbaji wa bwana Nassib Abdul. Najua ni vyema kubadilika lakini wakati mwingine tuangalie na kubadilika kwetu.
Mimi nadhani hii mirindimo ya kikongo kwa wabongofleva wangemuachia tu mzee wa Dushelele na Mvumo wa radi Ali Kiba huwa hakosei nb sikiza naonewa ya mapacha watatu FT Ali Kiba.
Mimi nadhani hii mirindimo ya kikongo kwa wabongofleva wangemuachia tu mzee wa Dushelele na Mvumo wa radi Ali Kiba huwa hakosei nb sikiza naonewa ya mapacha watatu FT Ali Kiba.