Hii mirindimo ya kikongo kwa hapa bongo ni Ali Kiba tu Diamond umefeli..

Tafuteni watu wapya ambao ni size yake, the dude's rate is down in the trench hata Vanny boy na Harmonise wameshamuacha mbali internationally.
Kwa kuomba kolabo kila kukicha ama?..baa qhy dont you stop to link him with diamond..why dont u link diamond to jux or ben pol na hata Diamond mwenyewe mara kadhaa ameonesha namna ana hofu na Ally hahahaaaa msijitekenye nyiee
 
Sioni faida ya kukwambia kama nimefika ama sijafika germany coz siyo nlichokiweka jukwaan bos kama unataka tufahamiane vizur tafuta mazingira na wakati mwingine..KARIBU.


Ninavyofahamu mimi bidhaa za wachina zinazouzwa Kariakoo na Ujerumani zinapatikana pia. Ndio maana Ujerumani unaweza kununua pea ya viatu made in China kwa €5 au €300, inategemea na ubora. Lakini kwa stori za vijiweni unafikiri Ujerumani kila kitu ni Almasi.
 
Thats not my topic dude try to undsrstand..
 
nimejaribu kuyasoma mawazo ya mtoa mada lakin nkagundua kuwa yametawaliwa na ushabik wa upande fulani.... tena sio kuwa kaandika kwa ajili ya kufanya analysis bali kwa ajili ya kubishana na kushindana.... hivi utasemaje wimbo wa INAMA sio mzuri? kwa kigezo kipi labda? hujaelewa kilichoimbwa au umekaza tu ubongo wa kujifanya hujui diamond anaimba aina gan ya mziki? mtu kwenda na hayo mapigo haimaanishi huko ndo kwake.... kwa nilivokuelewa kwa kiasi kidogo ulichotaka upate sebene la kikongo kutoka kwa msanii wa bongo fleva... labda nkusaidie tu, ule wimbo kwanza umepangiliwa na mashair ya kueleweka, midundo imelala mule mule, hauchosh kuusikiliza na ukipigwa tu lazima uchezeshe kiungo chako chochote, umebamba ukabambika, mtaani kila kona, bodaboda upo, maharusin na masherehe mbalimbali unaukuta... umepenya mpaka nje km masihara na mpaka kina drogba na samuel etoo wanasoka nguli wameuelewa... sa sijui tatizo liko wapi hapo? labda kwny masikio yako na hisia zako binafsi
 
diamond aka almasi... huyu kijana mahali alipofikia kwa sasa ni pakubwa mno na itawachukua miaka mingi sana wasanii wengine kumfikia huyu jamaa.... ni msanii pekee anayemiliki label kubwa afrika mashariki na kati, pia ndo msanii pekee mwenye fanbase kubwa ktk ukanda huu... afrika nzima ni wasanii wawili tu wana media house zao... ni msanii pekee ambaye huez pitisha siku bila kusikia wimbo wake wowote ule.... n.k, n.k, n.k....
 
Hahahahaaaaa sawa mtoa maoni ambae hujatawaliwa na hisia za ushabiki hahahaaaa kwa HIYO HAWEZI KUIMBA VIBAYA???? pjnguzeni mahaba sheikh ngoma mbovu ile kinachoibeba ni fanbase tu
 
Tatizo ni kwamba unataka watu wachambue wakati wewe tayari una msimamo wako na mahaba binafsi yaani umesha pick side, sasa hatuwezi kuchambua kwa balanced opinions and facts labda tushindane kwa misingi ya team sababu mjadala huu uko biased.

Jibu la kwanini watu wengi wanaupenda wewe uukatae lipo subjective, siku hizi muziki si kipaji tu ama umahiri bali ni biashara, tukija kwenye hili Diamond ni mfanya biashara mzuri wa muziki, he's business oriented far from Ally Kiba...

Kila mtu ana nafasi yake na soko lake huo ndo ulimwengu wa soko huria ambapo dunia ni sinia pakua unachoweza...
 
Tafuteni watu wapya ambao ni size yake, the dude's rate is down in the trench hata Vanny boy na Harmonise wameshamuacha mbali internationally.
Tuletee facts and figures tuone hiyo scale yako iko accurate kiasi gani??

Yaani unapima mafanikio ya Diamond caree wise kwa kumfananisha na Hermonise na Vanny, kwamba ndo kipimo cha mafanikio yake ati?

Kama umesha underestimate you will definetly underate him.
 
Ubora wa kazi unapimwa na kipimo kipi sahihi kama si kutegemea sikio na sikio la mtu??

Kwanza performance ya hiyo nyimbo ikoje kwenye platforms za muziki??
Njoo na facts and figures vinginevyo mtazamo unakuwa wako binafsi na utaendelea kushangaa kwanini wengi wana tofautiana na mtazamo wako binafsi yaani wewe huoni uzuri wa nyimbo wengine wengi wanaona.
 
Niliyemfananisha mafanikio na hao madogo ni Ali Kiba, they've surpassed him by now kwa fame na kipato.
 
Kiufupi mm miziki ya dimond sisikilizagi wala hata hiyo ya alikiba sisikilizi coz yote naona ni uchafu tu.

Lakn namkubali sana Dai coz anaenda na wakati.

Huwezi kuendelea kuwauzia watu matembele wakati unaona kabisa watu wanakula san mchicha.
 
Kwa mawazo hayo tutakesha mzee bt hamna nyimbo pale mdundo ni mzuri zaidi ya namna alivyoimba..kwamba produser alitendea haki mdundo bt muimbani kamuangusha ningekuwa biased ningeiponda na THE ONE bt why m talking abt INAMA?...
 
Kiufupi mm miziki ya dimond sisikilizagi wala hata hiyo ya alikiba sisikilizi coz yote naona ni uchafu tu.

Lakn namkubali sana Dai coz anaenda na wakati.

Huwezi kuendelea kuwauzia watu matembele wakati unaona kabisa watu wanakula san mchicha.
Asa unapata wap legitimacy ya kukoment kama hata nyimbo huwa husikizi mzee..kuna watu wanapenda za msondo had now we unazungumzia za ali kiba?..watu wanakula sikinde from morning to noon
 
Aisee bro una kichwa kigumu had shida acha kuzungumzia fan base mzee...zungumzia quality ya kazi yenyewe mashabiki leo hata msanii wanaempenda akiimba A E I O U watamsikiza fuuu coz ndo huyo walomchagua kumshabikia bt tukienda kuangalia kwa undani tunakuta A B C D hazipo sawa rudi nyuma kwenye KTMA MPOKI alifanya ngoma kama ya mriaho mpoto bt akaimba ujinga ujinga wake then wakawekwa kategori moja na MRISHO Mpoto na wimbo ORIJINO wa ule alokopi MPOKI na MPOKI akashinda by then walikuwa na fan base kubwa coz ya ZE COMEDY sasa unataka kutuaminisha wimbo wa mpoki ulikuwa bora kuliko wa mrisho mpoto?...fan base ni kitu kingine na ubora wa kazi ni kitu kingine mzee
 
Tafuteni watu wapya ambao ni size yake, the dude's rate is down in the trench hata Vanny boy na Harmonise wameshamuacha mbali internationally.
Hahahahaaaa kaka kama unahisi kukesha ukiomba kolabo international ndo kujua muziki unafeli...kutaka kila wimbo usindikizwe ni uwoga siyo ushujaa jamaa anafanya peke yake na anabeba tuzo za huko nje vizuri tuu hushangai, hujiulizi?..refer aje ngoma moja tuzo zaid ya kumi, self confidence,pure talent wakati unamuomba kolabo davido huyo davido anataka kolabo na kiba hushangai?,hujiulizi?.
 
Hahahahaaaaaa si coz jamaa yao fally ipupa kaimba mule hata angeimba na marioo ungefika tu kwao coz fally ipups ni jamaa yao mzee..Rihana aliwah kupost insta juu ya ngoma ya mvumo wa radi ambayo Ali hajafanya kolabo na msanii mkubwa hushangai? Mbona husemi
 
Niliyemfananisha mafanikio na hao madogo ni Ali Kiba, they've surpassed him by now kwa fame na kipato.
Hahahahaaaaa duh eti kwa FAME na KIPATO tema mate chini mzee...hakuna mwenye fame wala kipato cha kumzidi Ali katika hao watoto ulowataja..aisee endeleeni kumuomba Mungu Ali aendelee kuwa msiri juu ya mambo yake maana siku akifunguka mtakimbiana mjini hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…