nimejaribu kuyasoma mawazo ya mtoa mada lakin nkagundua kuwa yametawaliwa na ushabik wa upande fulani.... tena sio kuwa kaandika kwa ajili ya kufanya analysis bali kwa ajili ya kubishana na kushindana.... hivi utasemaje wimbo wa INAMA sio mzuri? kwa kigezo kipi labda? hujaelewa kilichoimbwa au umekaza tu ubongo wa kujifanya hujui diamond anaimba aina gan ya mziki? mtu kwenda na hayo mapigo haimaanishi huko ndo kwake.... kwa nilivokuelewa kwa kiasi kidogo ulichotaka upate sebene la kikongo kutoka kwa msanii wa bongo fleva... labda nkusaidie tu, ule wimbo kwanza umepangiliwa na mashair ya kueleweka, midundo imelala mule mule, hauchosh kuusikiliza na ukipigwa tu lazima uchezeshe kiungo chako chochote, umebamba ukabambika, mtaani kila kona, bodaboda upo, maharusin na masherehe mbalimbali unaukuta... umepenya mpaka nje km masihara na mpaka kina drogba na samuel etoo wanasoka nguli wameuelewa... sa sijui tatizo liko wapi hapo? labda kwny masikio yako na hisia zako binafsi