Hii "Modern obsession" ya makalio makubwa imetokea wapi?

Hii "Modern obsession" ya makalio makubwa imetokea wapi?

Forrest Gump

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2021
Posts
637
Reaction score
1,532
Ulishawahi kujiuliza labda ndani ya 60s, 70s, 80s au 90s kwamba kipindi hicho kama wanaume walikuwa wakipagawa na makalio makubwa ya wanawake kama ilivyo sasa?

Je, wanawake pia waliweza kujitukuza kwa kuwa wana makalio makubwa? Au wanawake wamejitukuza baada ya wanaume kuanza kutukuza haya makalio makubwa?

Je, ukubwa wa makalio umekuwa ni sehemu moja wapo ya kumvutia mwanaume tangu enzi? Mtu anaweza kutoa hoja kuwa kipindi kile hawakuepo, namaanisha uzao wa wanawake wenye makalio makubwa haukuwepo kipindi kama ilivyo sasa.

Kuna rafiki yangu mmoja alinipatia point moja: "Unajua kipindi kile wanawake walikuwa hawavai nguo za kubana kwa hiyo makalio yao yalikuwa hayajioneshi wazi wazi."

Kwa wale wafuatiliaji wa vitabu vya kidini, je, kuna sehemu walionesha kuwa makalio ya mwanamke yalicheza nafasi kubwa katika urembo wake? Ila mara nyingi wanaandika mwana mama mwenye uzuri wa sura alimvutia Mfalme au mwana Mfalme.

Au kwa wale wafuatiliaji wa historia za ki Afrika, je, kuna andiko lilionesha makalio yalicheza nafasi kubwa katika matanio ya wanaume juu ya wanawake kwa kipindi cha zamani?

Kwahiyo nini hasa kilitokea kwetu wanaume, ambapo sasa tukaanza kupagawa na haya makalio makubwa ya wadada?

[emoji830]︎Je, ni ushawishi wa video za ngono?
[emoji830]︎Je, ni mageuzi juu ya wanadamu yaliyoleta mabadiliko katika mavutio na matamanio mapya?
[emoji830]︎Je, ni mtindo mpya wa nguo za kubana zilizokuza obsession hii?
[emoji830]︎Je, ni Shetani na ushawishi wa kiroho juu ya wanadamu?

Karibuni kwa michango mbali mbali.
View attachment 2362756View attachment 2362757
 
Nina miaka 76 na tangu napata akili makalio yalikuwa kwenye chati na kamwe hayajawahi kushuka na hayatakaa yashuke. Sasa sijui unaongelea nini mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]

Mwanamke halisi wa Kibantu lazima awe na tako !!!
 

Attachments

  • JamiiForums-1839723564.jpeg
    JamiiForums-1839723564.jpeg
    94.1 KB · Views: 96
  • JamiiForums-1554991921.jpeg
    JamiiForums-1554991921.jpeg
    100 KB · Views: 85
Ni kama kipindi cha nyuma ilikua Mwanaume mwenye kitambi ndio anaonekana tajiri,ana pesa na mademu walimbabaikia! So,wengi walitamani kua na vitambi!!

Baada ya muda hilo ni kama limepita,sasa hivi wamejua kua Six pack ndio bora zaidi,

So,hata hili la kupenda makalio makubwa nalo litapita tu,

Labda niulize swali,
Hii issue ya kupenda makalio makubwa ni world wide au ni Africa tu?
 
Ni kama kipindi cha nyuma ilikua Mwanaume mwenye kitambi ndio anaonekana tajiri,ana pesa na mademu walimbabaikia! So,wengi walitamani kua na vitambi!!

Baada ya muda hilo ni kama limepita,sasa hivi wamejua kua Six pack ndio bora zaidi,

So,hata hili la kupenda makalio makubwa nalo litapita tu,

Labda niulize swali,
Hii issue ya kupenda makalio makubwa ni world wide au ni Africa tu?
Ni utamaduni wa western...So usitarajie wachina, wajapan kupenda makalio...Labda Bongo, USA, Europe and the likes
 
Back
Top Bottom