Tafuta Hela
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,546
- 2,983
Triple Wo
Hata ujilembe vipi si tuna tazama[emoji41]
Hata ujilembe vipi si tuna tazama[emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahha hii kitu ipo damuni kabisaKwani ni kipi kiliwafanya hao mababu zetu wapende sura? Au tabia? Utagundua kila mtu au kila zama na kitu wakipendacho binafsi Napenda sana t*ko lenye hips au limegawanyika vizuri yaani nimewaza tu hivi najikuta nimeenda mbao
Nahisi ni africa tu, maana muda huu huu naongea na shoga yangu kuwa katafutiwa mzungu, kamkataa eti ana tako kubwa.hadi nimeshangaa.Ni kama kipindi cha nyuma ilikua Mwanaume mwenye kitambi ndio anaonekana tajiri,ana pesa na mademu walimbabaikia! So,wengi walitamani kua na vitambi!!
Baada ya muda hilo ni kama limepita,sasa hivi wamejua kua Six pack ndio bora zaidi,
So,hata hili la kupenda makalio makubwa nalo litapita tu,
Labda niulize swali,
Hii issue ya kupenda makalio makubwa ni world wide au ni Africa tu?
Sure,Na hili nalo litapita. Binafsi naamini inatokea katika hali ya kufuata mkumbo tu na kwa uzoefu wangu wanaowaza ujinga huwa wana nguvu sana ya ushawishi na kufanya jambo fulani kuonekana la maana sana au lina tija sana kwenye jamii. Hata mimi hapo kabla sikuwa na interest na wanawake wa aina hiyo ila kutokana na ushawishi mkubwa kwenye jamii unajikuta unaamua acha na mimi nikashuhudie hicho tunachoaminishwa kina mvuto zaidi. Nilichogundua hakuna jipya na kuamua kubaki njia kuu. Ni kama hapo zamani kila kijana alikuwa ana ndoto ya kuzamia akaibukie ughaibuni kusaka maisha lakini ulikuwa ni upepo tu na hayo mambo tayari yamekwishwa kupoteza umaarufu wake.
Ni kama Misimu tu katika lugha ya Kiswahili ambayo huja na kupotea.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
True mkuu kitu imejichimbia ndani ya dna , mwanamke anatakiwa akisimama unajua kweli uko na jinsia tofauti ndani 😂😂Hahahahha hii kitu ipo damuni kabisa
Acha..duuuhNahisi ni africa tu, maana muda huu huu naongea na shoga yangu kuwa katafutiwa mzungu, kamkataa eti ana tako kubwa.hadi nimeshangaa.
Ndo hivyo mzungu anataka kimiss.
Picha ya kusindikizia uzi tafadhari.Ulishawahi kujiuliza maybe in 60s, 70s, 80s au 90s kwamba kipindi hicho kama wanaume walikuwa wakipagawa na makalio makubwa ya wanawake kama ilivyo sasa?
Je wanawake pia waliweza kuji-glorify kwa kuwa wana makalio makubwa?
Au wanawake wameji-glorify baada ya wanaume kuanza ku-glorify haya makalio makubwa?
Je, ukubwa wa makalio umekuwa ni sehemu moja wapo ya kumvutia mwanaume tangu enzi?
Mtu anaweza kuraise a point kuwa kipindi kile hawakuepo, namaanisha breed ya wanawake wenye makalio makubwa haikuwepo kipindi kama ilivyo sasa.
Kuna rafiki yangu mmoja alinipatia point moja:
"unajua kipindi kile wanawake walikuwa hawavai nguo za kubana kwa hio makalio yao yalikuwa hayajioneshi wazi wazi"
Kwa wale wafuatiliaji wa vitabu vya Kidini, je kuna sehemu walionesha kuwa makalio ya mwanamke yalicheza part kubwa katika urembo wake. Ila mara nyingi wanaandika mwana mama mwenye uzuri wa sura alimvutia falme au mwanafalme.
Au kwa wale wafuatiliaji wa historia za kiAfrika. Je kuna andiko lilionesha makalio yalicheza part kubwa katika matanio ya wanaume juu ya wanawake kwa kipindi cha zamaniz
So what really happened to us men, ambapo sasa tukaanza kupagawa na haya makalio makubwa ya wadada.
[emoji830]︎Je ni influence ya porn.
[emoji830]︎Je ni evolution juu ya wanadamu iliyoleta mabadiliko katika mavutio na matamanio mapya
[emoji830]︎Je ni style mpya ya nguo za kubana zilizopromote obsession hii.
[emoji830]︎Je ni shetani na influence za kiroho juu ya wanadamu.
Karibuni kwa michango mbali mbali.
View attachment 2362756View attachment 2362757
Umepotosha. Hata miaka ya nyuma wanaume bado walikuwa wanavutiwa na wanawake wenye makalio makubwa. Unajua asili ya neno ''wowowo'' na limeanza kutumika lini? Unajua nguo walizokuwa wanavaa wanawake miaka ya 70 zinaitwa ''tight'' na kupigwa marufuku?Ulishawahi kujiuliza maybe in 60s, 70s, 80s au 90s kwamba kipindi hicho kama wanaume walikuwa wakipagawa na makalio makubwa ya wanawake kama ilivyo sasa?
Je wanawake pia waliweza kuji-glorify kwa kuwa wana makalio makubwa?
Au wanawake wameji-glorify baada ya wanaume kuanza ku-glorify haya makalio makubwa?
Je, ukubwa wa makalio umekuwa ni sehemu moja wapo ya kumvutia mwanaume tangu enzi?
Mtu anaweza kuraise a point kuwa kipindi kile hawakuepo, namaanisha breed ya wanawake wenye makalio makubwa haikuwepo kipindi kama ilivyo sasa.
Kuna rafiki yangu mmoja alinipatia point moja:
"unajua kipindi kile wanawake walikuwa hawavai nguo za kubana kwa hio makalio yao yalikuwa hayajioneshi wazi wazi"
Kwa wale wafuatiliaji wa vitabu vya Kidini, je kuna sehemu walionesha kuwa makalio ya mwanamke yalicheza part kubwa katika urembo wake. Ila mara nyingi wanaandika mwana mama mwenye uzuri wa sura alimvutia falme au mwanafalme.
Au kwa wale wafuatiliaji wa historia za kiAfrika. Je kuna andiko lilionesha makalio yalicheza part kubwa katika matanio ya wanaume juu ya wanawake kwa kipindi cha zamaniz
So what really happened to us men, ambapo sasa tukaanza kupagawa na haya makalio makubwa ya wadada.
[emoji830]︎Je ni influence ya porn.
[emoji830]︎Je ni evolution juu ya wanadamu iliyoleta mabadiliko katika mavutio na matamanio mapya
[emoji830]︎Je ni style mpya ya nguo za kubana zilizopromote obsession hii.
[emoji830]︎Je ni shetani na influence za kiroho juu ya wanadamu.
Karibuni kwa michango mbali mbali.
View attachment 2362756View attachment 2362757
Mkalio makubwa kupendwa ni tangu zamani. Kusema ni jambo la sasa hivi ni kuposha. Zamani kulikuwa na sketi fupi za kubana zikiitywa ''tight''. Asili yake ni kutaka makalio yaonekane. Baadae makalio yakaitwa wowowo. Kulikuwa na mpaka li-sanamu (puppet) linaitwa Joice wowowo (kwa sababu lilitengezwa likiwa na makalio makubwa ) jamaa mmoja alikuwa analichezesha sehemu nyingi za Dar na kulipwa.Ni kama kipindi cha nyuma ilikua Mwanaume mwenye kitambi ndio anaonekana tajiri,ana pesa na mademu walimbabaikia! So,wengi walitamani kua na vitambi!!
Baada ya muda hilo ni kama limepita,sasa hivi wamejua kua Six pack ndio bora zaidi,
So,hata hili la kupenda makalio makubwa nalo litapita tu,
Labda niulize swali,
Hii issue ya kupenda makalio makubwa ni world wide au ni Africa tu?
HahahahahPah pah pah [emoji95][emoji95][emoji95]
Baada ya kulizagamua big butts siku moja nikaanza kuyaelewa.Kweli bro,
So kwa upande wako, ulijikuta tu automatically unapendelea big butts au kwa namna gani ilikufanya uone tako nene ndio your thing?
Kwenye ule Uzi wa photo za pisi kali huwa unaupiga mwingi[emoji4][emoji109]Nina miaka 76 na tangu napata akili makalio yalikuwa kwenye chati na kamwe hayajawahi kushuka. Sasa sijui unaongelea nini mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
TaarabNgongingo