Hii "Modern obsession" ya makalio makubwa imetokea wapi?

Hii "Modern obsession" ya makalio makubwa imetokea wapi?

Nina miaka 76 na tangu napata akili makalio yalikuwa kwenye chati na kamwe hayajawahi kushuka na hayatakaa yashuke. Sasa sijui unaongelea nini mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]

Mwanamke halisi wa Kibantu lazima awe na tako !!!
Screenshot_20220920-193414.png

Mkuu naomba Jina ya huyu Mbantu niwe namfuatilia kutupa ndoana yangu hapo..

Jina lako tafadhari
 
Wakati mnaendelea kutafakari hayo.

Swali ni je... Hili Ongezeko la Kiholela la Makalio makubwa ambayo tunashuhudia Kwa hii miaka michache ya karibuni,. Limetokea wapi???.

Cheza Salama!!

Kwa Uzoefu tu wa kwenye mazingira ya 'kazi'.

100% Yao ni Wana makalio makubwa , anaweza kua mwembamba juu lakini Matakoo + Hips, nyama za mikono LAZIMA wajae !!.

Infact, Hakikisha Kila Demu unayekutana naye, kwanza assume kama Yuko kwenye Grid ya Taifa. . baada ya Hapo piga hatua.


Narudia, 100% Wana makalio makubwa ,mahips
 
Back
Top Bottom