Hii "Modern obsession" ya makalio makubwa imetokea wapi?

Hii "Modern obsession" ya makalio makubwa imetokea wapi?

Buza kwa mpalange kutamu jamani, makalio makubwa ndio sumaku yenyewe, alafu mambo mengine hayaandikiki yaacheni jamani, mfano utamu wa jicho hasa lililonona utaandikaje mtu aelewe, acheni plz, makalio ndio kila kitu, ila waafrika wako vizuri hasa akiwa mweupe au mweusi kiasi alafu awe na mkia, hapa mafirauni wenzangu mate kama yote, motoni kunawasubiri..!! πŸ˜€
 
Ni kama kipindi cha nyuma ilikua Mwanaume mwenye kitambi ndio anaonekana tajiri,ana pesa na mademu walimbabaikia! So,wengi walitamani kua na vitambi!!

Baada ya muda hilo ni kama limepita,sasa hivi wamejua kua Six pack ndio bora zaidi,

So,hata hili la kupenda makalio makubwa nalo litapita tu,

Labda niulize swali,
Hii issue ya kupenda makalio makubwa ni world wide au ni Africa tu?
Inabid we nd utujibu si unasema upo ughaibuni
 
Back
Top Bottom