Link mama, nifanye jamboKura za Watanzania wanaojielewa ni Davido na Wizkid mpaka waNigeria washangae mvua ya kura kutoka Tanzania. Tuanze mdogomdogo kwa mambo ambayo yako kwenye uwezo wetu kama hili, TUTAFIKA TU.
mama kubwa Zuchu ajakuomba kura wewe hizo ni shobo zako mwenyewe yeye kaomba mashabiki wake wanaotaka kumpigia kura.Zuchu anasema wapinzani watetereke leo anakuja kuomba kura hadi kwa sisi tunaotakiwa kutetereka?. Mimi binafsi tangu wameanza ujinga wao wa kusapoti CCM mwaka huu sijawahi shabikia msanii yoyote mfano nilikuwa namkubali sana Konde kwa kuwa Wasafi wanambeza na Ali kwa sababu hiyohoyo lakini sasa hivi sijali na sitasupport kazi zao tena.
Kakuomba wewe mpigie mimi na wanaojielewa sio shobo tu bali shombo linamwagwa kisawasawa.mama kubwa Zuchu ajakuomba kura wewe hizo ni shobo zako mwenyewe yeye kaomba mashabiki wake wanaotaka kumpigia kura.
https://www.google.com/url?sa=t&sou...AhAB&usg=AOvVaw3v7tnWzTqhqG93YFT8EMRI&cf=1Weka link tuwapigie nigerians kura, wa bongo watabebwa na tume
https://www.google.com/url?sa=t&sou...AhAB&usg=AOvVaw3v7tnWzTqhqG93YFT8EMRI&cf=1Tunapigia nigeria ndiwooo
Wewe wakulipia mahari haraka sanaTunapigia nigeria ndiwooo
Haraka plzAsante Glenn ngoja nikapege spana ntarudi
Hee siku hizi upo huku,vipi huko kwenu watu wanavuta kwa Corona.Jichekesheni sana. Ila habari ndiyo hiyo!
Tayariiii
Na ndio hapo pa kuwang'oa hawa fisi... Hii nchi si mali yao.Hata walipwe kias gan hawawez kuperform CHADEMA wanatishwa na serikal maana ikiamua kukushusha ni dakika tu unabambikiwa kodi kesi unatupwa lupango mali zqko zina filisiwa lesen unafungiwa
Daah. Hii mbinu ni nzuri. Ubunifu huu uendelezwe katika nyanja mbalimbali. Dude liondolewe! Hadi watu waone aibu kuliunga mkono.Weka link tuwapigie nigerians kura, wa bongo watabebwa na tume
Nimepiga kura na wote nimewatosa. Kitu nimekipeleka Nigeria na nilivyo na roho mbaya kwa East Africa nimepeleka Uganda na Kenya. Yani nimemaliza kuwachinja kiroho safiYani njemba nzima zinaangaika na mtoto mdogo wa kike zuchu [emoji3][emoji16][emoji16]
Mkimalza huko..hamien kwa kiba, harmonize rosa lee,Simba hawa si wpo Afrima? And then tutakua tumefanikiwa kuitoa ccm madarakan
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app