Hii movement ya fans wa CHADEMA kwa Wasanii inanichekesha

Hayo ndio maneno na mambo yakufanya ili kusapoti juhudi za Lissu, wanatubeza hatuwezi kuandamana, sasa tunaanza na wasanii wasihofu CCM wako wengi watawapigia. Ni bora nimpe kura Davido, Wizkid maana wanajitambua.
Sawa ndugu Mnaijeria..By the way visa yako ikiisha muda wake funga virago..
 
Kura za Watanzania wanaojielewa ni Davido na Wizkid mpaka waNigeria washangae mvua ya kura kutoka Tanzania. Tuanze mdogomdogo kwa mambo ambayo yako kwenye uwezo wetu kama hili, TUTAFIKA TU.
Sio waTz wote manyumbu kama nyie..
 
Nimeona wajumbe wamechafukwa vibaya kwenye page ya manara facebook alipowashauri wampe kuru zuchu.
 
stress zikikuisha utafurahia tu miziki yao,ndio ubinadam ulivyo
 
Hata wapewe 1B hawapandi...
 
Halafu huyu dada ana kiherehere.Nafuu ukaolewa kitapungua.Mjuaji alafu hujui km hujui
 
Kura za Watanzania wanaojielewa ni Davido na Wizkid mpaka waNigeria washangae mvua ya kura kutoka Tanzania. Tuanze mdogomdogo kwa mambo ambayo yako kwenye uwezo wetu kama hili, TUTAFIKA TU.
Well said mkuu,kuna mambo lazima tuunyooshane kisawasawa.Ili heshima iwepo.hamna namna.
 
Naikubali chadema pia mi fansi wa wcb ila kutokana na siasa hawa wcb hawawezi kulamba kura yangu
 
wahurumie tu hao wasanii wanafanya vile ili kulinda maslahi yao ,usimwone Diamond au alikiba anakata mauno ya Yope jua limewaka saa saba halafu Dodoma siyo kwamba wanapenda ni kwa vile hawana namna ili mambo yao yaende
Word!
Wengi humu tunawalaumu bure hawa wasanii wetu. Kuna mambo kabla hujaanza kulalamika jiweke mtu kwenye nafasi yao hao wasanii. Watu hawajui vema umafia wa chama tawala. Mimi siipendi CCM, lakini ikianzishwa movement na mtu/watu wa upinzani dhidi ya wasanii wetu nitamuona ni pimbi sana. Wasanii wetu wapo kwenye mabano.
 
Ole wao Diamond na timu yake wangekataa kumpigia kampeni Pogba, ndio ungekuwa mwanzo wao wa kufilisika. We usicheze na Mafia mob.
We angalia mwaka 2015 wameshindwa uchaguzi kule Zanzibar na kila mtu anajua, si unaona sinema iliyochezwa.
Mfano mwingine angalia Tundu Lisu, wamemtengua kiuno kumpunguza speed, imagine moto aliokuwa nao kipindi ile wangemuacha mpaka leo?
Hawa CCM ni Mafia, usicheze nao.
 
Hata hili la s2 keyz nahisi waliandaa wao. Mbona wamelishikia bango sana, kaanza pole pole sasa naskia hadi msemaji wa serikali nae kafika! Kweli?!!? Hili suala linauzito huu?!?! Mbona kama wanatumia nguvu kubwa sana kuonekana wapo na wanajali??!!. Watu wavamie tu studio na wapige watu!?!? Kuna jambo hapa sio bure.
 
CCM ni Mafia Mob na kila mtu anajua, wamejimilikisha nchi yetu wanafanya kama yao, haki hakuna kabisa, ndio maana sisi wengine tumekimbia.
 
Ukapimwe akili utakua na matatizo Sana!!
Hata ukiwachukua hawa unaamini kuna kitu watapoteza Kwa SABABU ya chuki zako
 
Watakula waliko peleka mboga kumæ zao, wasanii wote wa CCM nisha wa switch off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…