Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
cha msingi Dr. Mahera atampigia kura huyo Chuchu sijui Zuchu
Chadema nyie mbona wote huwa vichwa maji? Kwani mmeshindwa kumshawishi Ney wa mitego awashabikie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cha msingi Dr. Mahera atampigia kura huyo Chuchu sijui Zuchu
weka link hapa ya hizo tuzo tuhakikishe :ukijishughulisha na mshabiki wa chadema utachoka ulale saa kumi jioni.
hamna watu vichwa maji kama hao jamaa,halafu ni makubwa.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ruttashobolwa punguza jabzaChadema ntie mbona wote huwa vichwa maji? Kwani mmeshindwa kumshawishi Ney wa mitego awashabikie?
Watu wangu wa karibu wote tuna misimamo sawa ya kiitikadi maana hali ya kimaisha tuliyopitishwa na bwn huyu inalingana.[emoji2][emoji2][emoji2] hebu fikiria watu wako wa karibu,unaowategemea kwenye harakati za kimaisha wakianza kukutenga kwa kuzingatia misimamo ya kiitikadi.
😃😃 Wewe hutakuja kutoboa kimaisha.Na sababu pekee ni wewe kuishi na kuzungukwa na watu ambao mnalingana katika kila kitu, kuanzia mawazo mpaka hali ya kiuchumi kama ulivyodai hapo 🖕.Watu wangu wa karibu wote tuna misimamo sawa ya kiitikadi maana hali ya kimaisha tuliyopitishwa na bwn huyu inalingana.
Ili nitoboe kimaisha inabidi niwe kama huyu afisa elimu hapo chini sio?[emoji2][emoji2] Wewe hutakuja kutoboa kimaisha.Na sababu pekee ni wewe kuishi na kuzungukwa na watu ambao mnalingana katika kila kitu, kuanzia mawazo mpaka hali ya kiuchumi kama ulivyodai hapo [emoji867].
Sio lazima uwe CCM, na sidhani kama kuna sehemu yoyote nimewahi kukushawishi uhamie CCM. Sababu za wewe kutotoboa ni kukaa na kuzungukwa na watu unaodai kuwa mmefanana kuanzia namna ya kufikiri, Hadi uchumi wenu.Ili nitoboe kimaisha inabidi niwe kama huyu afisa elimu hapo chini sio?
Maana kwa CCM huyo jamaa hapo ameyapatia maisha mbaya kabisaaa.View attachment 1598557
Sio lazima uwe CCM, na sidhani kama kuna sehemu yoyote nimewahi kukushawishi uhamie CCM. Sababu za wewe kutotoboa ni kukaa na kuzungukwa na watu unaodai kuwa mmefanana kuanzia namna ya kufikiri, Hadi uchumi wenu.
Hakuna chama kitakachokuletea maisha mazuri moja kwa moja mfukoni kwako, Sasa hayo mambo ya wewe kuhamia CCM ili utapatie maisha sijui umeyatoa wapi.
Link mama, nifanye jambo
Nishapatahujapata tu link ?
Nishapata
na leo mvuha imewanyeshea mburahatiwahurumie tu hao wasanii wanafanya vile ili kulinda maslahi yao ,usimwone Diamond au alikiba anakata mauno ya Yope jua limewaka saa saba halafu Dodoma siyo kwamba wanapenda ni kwa vile hawana namna ili mambo yao yaende
Hayo ndo mambo ya kujadiliana, sio kunyimana ugali (Kama mbavyotaka kuwanyima wasanii kura zenu),kwa misingi ya kiitikadi.Mimi ni utingo tu mzee baba,karibu utupe msaada kwny tuta hapo labda itatusaidia na sisi kutoboa na kua fogo kama wewe dingilai.View attachment 1598578
Hahah kumbuka unajadiliana na konda/utingo mzee baba,hana exposure wala nini.Hayo ndo mambo ya kujadiliana, sio kunyimana ugali (Kama mbavyotaka kuwanyima wasanii kura zenu),kwa misingi ya kiitikadi.
Ni bora mtu atakaedai kuwa hawapigii Kura kwakuwa sio shabiki wao, sio hayo mawazo ya kiitikadi.
Kuwa na chama hakuna anekatazwa lakini pale ambapo unategemea ulaji wako kutoka kwa fans ambao ni wananchi basi inabidi ujiweke neutral ili usiwagawe fans wako, kama ni ushabiki wa siasa kaufanye kwenye boksi la kura
On the other hand ndio maana wachungaji na viongozi wa dini wenye akili na hata wafanyabiashara wenye akili huwa hawajihusishi na siasa ili kuepuka kugawa wateja, waumini nk
Sio kwamba hawana vyama, ila wanaepuka kuharibu biashara zao kwa sababu ya siasa