Hii movement ya fans wa CHADEMA kwa Wasanii inanichekesha

Hii movement ya fans wa CHADEMA kwa Wasanii inanichekesha

Basi sawa haikuwa na haja ya kuanzisha mpaka movement maana kuanzisha movement ni sawa na kuonyesha kisasi kama vile hukubaliani na haki yake ya kidemokrasia. yeye kwa sasa kusimama jukwaani na kupiga kampeni ni sawa maana ni kipindi cha kampeni... Lakini yote sawa demokrasia nikukubali kutokubaliana.
Nini tafsiri yako ya Movement ?

Kama issue ni mvt hata hao wasanii kutunga nyimbo za kuwakejeli wapinzani(wananchi wasio suppor maccm) nayo ni kinda movement.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia nitawapigia kura akina dovido, kuwa msanii au public figure maana yake wewe ni sehemu ya jamiii na unatakiwa kuwa neutral ili kubalance image yako kwenye jamii, sasa unapoonekana kuunga mkono upande fulani ilhali kazi yako inategemea jamii nzima, jamii nayo itakugawa kwa itikadi zao
Huu ni unafki kama ni harakati msichague pa kuzifanyia. Kwanini msigomee kushabikia na simba kwani hata bosi wao si aliunga mkono upande fulani. Msichague cha kuona il’hali mnajifaya mna macho mazima. Pili sidhani hata wasanii mnaowalaumu ilitokea hata siku moja watu wakanunua nyimbo zao zaidi ya kuzipakua bure. MUACHE UNAFKI HIZO HARAKATI MNAZICHANGANYA NA SIASA.
 
Nimeona mashabiki wachache wa Chadema wameanzisha Uzi kwaajili ya kutopiga kura kwa Wasanii wanaoshabikia CCM unajua Kuna vitu vinachekesha Sana na ukute hao watu Ni watu wazima na wengine wanawatoto yaani unawapangia wasanii Cha kumshabikia mbona wao hawajakupangia chama Cha kumshabikia Nani kawambia kushabikia Chadema ndio unapata uzima wa milele au unapata maisha Bora mpaka uwaone wanaokuwa against yenu ni washamba Kama ukweli unaipenda Sana Chadema kwanini usiwakatae Wazazi wako ambao Ni CCM? au uwaue kabisa au uwatukane kabisa alafu uturushie hapa jamvini clip ili tuone kweli wewe una uchungu na CHADEMA? Tofauti na hapo wewe Ni mnafiki na una wivu au chuki binafsi na Wasanii na Wala sio suala la Itikadi alafu baadae hao hao wasanii wakifa njaa mnaanza kuwaponda na kuanza kuwadhiaki.


Kama unataka wasanii wapige kampeni chama chenu Cha Chadema wambieni viongozi wenu watoe mpunga mrefu alafu muone Kama hao wasanii watakataa kuliko huu upuuzi mnaofanya sasa hiv mnaonekana Ni wapumbavu Sana.
Tulia wewe ZUCHU kura sijakupigia,kamwambie Mahera na Polepole wakupigie
IMG_-negn8o.jpg
IMG_4sf39f.jpg
IMG_-de2njs.jpg
 
Zuchu anasema wapinzani watetereke leo anakuja kuomba kura hadi kwa sisi tunaotakiwa kutetereka?. Mimi binafsi tangu wameanza ujinga wao wa kusapoti CCM mwaka huu sijawahi shabikia msanii yoyote mfano nilikuwa namkubali sana Konde kwa kuwa Wasafi wanambeza na Ali kwa sababu hiyohoyo lakini sasa hivi sijali na sitasupport kazi zao tena.
😃😃😃 hebu fikiria watu wako wa karibu,unaowategemea kwenye harakati za kimaisha wakianza kukutenga kwa kuzingatia misimamo ya kiitikadi.
 
Back
Top Bottom