Hii movement ya fans wa CHADEMA kwa Wasanii inanichekesha

Hii movement ya fans wa CHADEMA kwa Wasanii inanichekesha

Hahah kumbuka unajadiliana na konda/utingo mzee baba,hana exposure wala nini.

Lkn ataazima simu kwa dereva wake na atawapigia kura wa-ghana maana Nyerere mwenyewe alisema Africa ni moja na waafrika ni wamoja.
🤣🤣🤣 Haya bwana utingo, si tunashukuru tu kwa kuwa Kodi yako inabaki hapa tz, haiendi kwenu Ghana. Hayo mengine hayatutii hasara yoyote.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Haya bwana utingo, si tunashukuru tu kwa kuwa Kodi yako inabaki hapa tz, haiendi kwenu Ghana. Hayo mengine hayatutii hasara yoyote.
Asante sana bwn Suka,msalimie polepole hapo.
EkMRLfPXkAAuZys.jpg
 
Wakiwa jukwaani wanaimba yope ya magufuli wapewe muda wajinadi wapigiwe kura na hilo nyomi hapo uwanjani
 
Kule kwao Beyonce, Jay-Z, Taylor Swift na mastaa kibao wa kule Holywood wanaunga mkono Democratic Party kwa waziwazi. Kila kipindi cha uchaguzi wamekuwa wanatumia nafasi walizonazo kuwashawishi watu wapigie kura chama hicho. Tena wapo wanaopanda mpaka jukwaani kuwanadi wagombea.
Kila mtu ana uhuru wa kufanya anachotaka kama sheria inaruhusu, acheni kulialia.
Upo sahihi kabisa, hata sisi tupo huru kabisa kuvote for any artist we want, be Nigerians or Kenyans, its our choice
 
Nimeona mashabiki wachache wa Chadema wameanzisha Uzi kwaajili ya kutopiga kura kwa Wasanii wanaoshabikia CCM unajua Kuna vitu vinachekesha Sana na ukute hao watu Ni watu wazima na wengine wanawatoto yaani unawapangia wasanii Cha kumshabikia mbona wao hawajakupangia chama Cha kumshabikia Nani kawambia kushabikia Chadema ndio unapata uzima wa milele au unapata maisha Bora mpaka uwaone wanaokuwa against yenu ni washamba Kama ukweli unaipenda Sana Chadema kwanini usiwakatae Wazazi wako ambao Ni CCM? au uwaue kabisa au uwatukane kabisa alafu uturushie hapa jamvini clip ili tuone kweli wewe una uchungu na CHADEMA? Tofauti na hapo wewe Ni mnafiki na una wivu au chuki binafsi na Wasanii na Wala sio suala la Itikadi alafu baadae hao hao wasanii wakifa njaa mnaanza kuwaponda na kuanza kuwadhiaki.

Kama unataka wasanii wapige kampeni chama chenu Cha Chadema wambieni viongozi wenu watoe mpunga mrefu alafu muone Kama hao wasanii watakataa kuliko huu upuuzi mnaofanya sasa hiv mnaonekana Ni wapumbavu Sana.
mimi nina mpwa wangu ni msanii lakini nasema... wacha hawa wasanii wa Bongo wanyooshwe tu kwenye hili ili waache kujiuza kama vyangudoa.
mbona wenzao wa Nigeria (ambao nao wanahitaji pesa pia) wamesimama kupigania haki kuliko kutukuza watawala??
 
Nimeona mashabiki wachache wa Chadema wameanzisha Uzi kwaajili ya kutopiga kura kwa Wasanii wanaoshabikia CCM unajua Kuna vitu vinachekesha Sana na ukute hao watu Ni watu wazima na wengine wanawatoto yaani unawapangia wasanii Cha kumshabikia mbona wao hawajakupangia chama Cha kumshabikia Nani kawambia kushabikia Chadema ndio unapata uzima wa milele au unapata maisha Bora mpaka uwaone wanaokuwa against yenu ni washamba Kama ukweli unaipenda Sana Chadema kwanini usiwakatae Wazazi wako ambao Ni CCM? au uwaue kabisa au uwatukane kabisa alafu uturushie hapa jamvini clip ili tuone kweli wewe una uchungu na CHADEMA? Tofauti na hapo wewe Ni mnafiki na una wivu au chuki binafsi na Wasanii na Wala sio suala la Itikadi alafu baadae hao hao wasanii wakifa njaa mnaanza kuwaponda na kuanza kuwadhiaki.

Kama unataka wasanii wapige kampeni chama chenu Cha Chadema wambieni viongozi wenu watoe mpunga mrefu alafu muone Kama hao wasanii watakataa kuliko huu upuuzi mnaofanya sasa hiv mnaonekana Ni wapumbavu Sana.
Siasa za Afrika ni za kipumbavu, unakuta anaedai Demokrasi hajui demokrasi.
 
Siwezi kuhangaika na account na page mlizoanzisha ili kupotosha watu kwa kutweet na kujijibu wenyewe.

Lakini hata hivyo, hilo jibu alilotoa huyo jamaa (mnaedai kuwa ni comrade polepole),lilikuwa sawa kabisa kulingana hoja ya huyo mwenye mawazo kama yako.
ITATEGEMEA NIMEAMKAJE.
 
Upo sahihi kabisa, hata sisi tupo huru kabisa kuvote for any artist we want, be Nigerians or Kenyans, its our choice

Ni sawa kabisa, lakini kwanini mnafanya iwe big deal?
 
Hopeless kabisa alafu kesho wanadai Magufuli dikteta,wakati wao wana walazimisha watu wasimpigia kura Zuchu aliye amua kuichagua CCM kama chama chake,ukiuliza "Wasanii wanaijeria wameandamana.....",huku tuandamane kwa upinzani gani,upinzani ambao hauna msimamo.Upinzani ulisha 2015 Mbowe na genge lake walipo chukua hela za Rostam na Lowasa.

Baadae utasikia nchi haina demokrasia,wakati wao wenyewe hawajui nini maana ya demokrasia.
Tumetetereka na sisi tunamteteresha!
Apigiwe kura na mataga, hakuna mpinzani atakayempigia kura huyo kidudumtu kakomaa kama ajuza
 
3 long days mnadiscuss halafu unasema mimi ndio nachukulia kama big deal? Okay.
Hapa ni JF mkuu, everybody speaks hi/her mind openly hata kama ni mwaka mzima, mods wakiona thread ina tatizo wataifunga,
Simple, quit the discussion kama unaona umepotea njia
 
Alafu utaskia chadema hawategmei wasanii[emoji3]...mim siipend ccm ila kwa hili sio chedema tu..hapa kuna hate ya WCB inatembea..team fulan imetumia chadem kama kichaka tu

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Hate ya WCB.....Wewe jamaa una akili sana. Ila hilo kopo tupu lililoanzisha uzi halikuona hilo. Kwasababu yeye anaichukia chadema, ameona kuwa chadema ndio waanzilishi wa uzi. Ccm ni janga.
 
Hapa ni JF mkuu, everybody speaks hi/her mind openly hata kama ni mwaka mzima, mods wakiona thread ina tatizo wataifunga,
Simple, quit the discussion kama unaona umepotea njia

Naona unanihamisha kwenye reli.
 
Back
Top Bottom