- Thread starter
- #21
Nshaiona na kwa hii mvua haifai ile mkuuAngalia series inaitwa sex life na hii mvua utaenjoy sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nshaiona na kwa hii mvua haifai ile mkuuAngalia series inaitwa sex life na hii mvua utaenjoy sana.
Tushapoa nduguHiki chama kila siku kinaongezeka. Poleni sana.
kwamfano nikikuambia nakupenda sana utaniambiaje?Haya baada ya kuelewa taja majina ya movie mda hauruhusu
Nipo single kama wewe tu. Tuliosingle tunapata tabu sana.Wapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu kawine tayari nshanunua
Movie ni hobby haiwez lazimishwa wala kujifunza inakua natural. Ss mm niweke movie uchezee simu namaind vbaya sana nataka tuweke akili yote hapoHivi mbona mi nashindwa kuangalia muvi jamani.
Nakupenda piakwamfano nikikuambia nakupenda sana utaniambiaje?
Ntajie nizipakue bwana. M sipend kutoka tokaNipo single kama wewe tu. Tuliosingle tunapata tabu sana.
Movie ninazo, njoo tufarijiane baby 😘
Kwahio baby unanikana kisa nimesafiri tuWapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu kawine tayari nshanunua
Itamsaidia, na haichoshiNshaiona na kwa hii mvua haifai ile mkuu
Nitakuja ulipo baby, movie ni nyingi sanaNtajie nizipakue bwana. M sipend kutoka toka
Si uliniacha wewe mbona unakua hvyo jaman hutak niwe na amaniKwahio baby unanikana kisa nimesafiri tu
Ina season 1 na 2 nmemaliza yoteItamsaidia, na haichoshi
Nyie ndo wa netflix and chill umeishaNitakuja ulipo baby, movie ni nyingi sana
Inabidi nijifunze asee. Labda kuna vitu vizuri napitwaMovie ni hobby haiwez lazimishwa wala kujifunza inakua natural. Ss mm niweke movie uchezee simu namaind vbaya sana nataka tuweke akili yote hapo
Bas sikuachi tena jamani kuwa na Amani soon narudi mamiiSi uliniacha wewe mbona unakua hvyo jaman hutak niwe na amani
Na ukiifanya hobby utaenjoy sana. M npo likizo toka j3 nshamaliza movie kama 20 had ss ndo mana nataka mpyaInabidi nijifunze asee. Labda kuna vitu vizuri napitwa
Akha sidanganyikiBas sikuachi tena jamani kuwa na Amani soon narudi mamii
njoo pm nikuambie kituNakupenda pia
Haya cheki, intergalactic ni animation lakini.Ina season 1 na 2 nmemaliza yote