saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
Hawa NSSF wamewatangazia watanzania kuwa km unataka kujihudumia kwa maana ya kuona michango, mafao, salio lako n.k unaweza kutupigia *152*00# na ukajihudumia. Sasa nenda kapige utaishia kwenye kuingiza namba yako ya uanachama huwezi kuendelea zaidi ya hapo.
Itakuambia ujumbe wako umetumwa utapata utapata majibu hivi punde ndio imetoka. Unajiuliza kama shirika kubwa yenye matrilioni inashindwa kuwa na teknolojia sahihi? Hii ni aibu, ndio maana mashirika ya umma ni headache na watendaji wanafanya haya makusudi, sasa unajiuliza kwa faida gani na ya nani? Nchi hii kitu kikishaitwa shirika la umma ni laana.
Huyo msukuma ni lini atamaliza muda wake? Mamlaka ya uteuzi iangalie hili shirika kuna tatizo kubwa. Dunia hii ya akili unde unashindwa ku-access akaunti yako? Kweli?