Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Ila Bongo inasikitisha sana kwenye suala la haki. Ndiyo maana ukizungumzia haki inakuwa kama umetangaza duka la bangi.
Inajiuliza sisi tupo dunia ya ngapi. Tofauti ya chaguzi za enzi za mkoloni na leo ni majina tu, lakini michakato ni ile ile.
PO-RALG ndio inasimamia uchaguzi kupitia Halmashauri zake. PO-RALG inasimamiwa na Mchengerwa ambaye ni mkwe wa Rais. Mtu mmoja mjinga (ignorant) atasema Tume ndio inasimamia uchaguzi. Huyo ni mjinga kiwango cha mpumbavu kwa sababu tume haileti maafisa wake wote huku Wilayani. Bali ni DED na Wakuu wake wa Idara wanajigeuza na kuwa maafisa uchaguzi.
Nafikiri TEC walipaswa kunyoosha zaidi ya hapo.
#No reforms No Election