Hii nchi haiishiwi vituko, Kumbe watu wana hela za kuchezea

Hii nchi haiishiwi vituko, Kumbe watu wana hela za kuchezea

Kahama hakuna uwanja wa ndege yaan nikodi basi safari ndefu hivyoi ila kila mtu ana namna ya kuenjoy tusipangiane
 
Safi sana.akimwaga mboga wewe unamwaga ugali[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ukiona vishindo hivyo jua wanatafuta mtoto wa pili..hao..
 
Hawa Ni wajinga na wapumbafu, hawakupaswa kuanika upuuzi wao katika jamii yenye Lindi la ufukara.
Sasa ufukara na namna ya kuishi maisha Yao na pesa zao zinahusiana nn[emoji3][emoji3]... Kwaio watu wasijioneshe kwasabab Kuna ufukara
 
Stress za umasikini ni mbaya sana..kila akifanyacho mwenye pesa unaona anakosea.
 
Mi bado najiuliza!!

Hivi kinachowauma hapo ni hiyo hela laki sita au kukaa kwenye gari mwenyewe?

Mbona haya mambo niya kawaida!,yaani mtu apambane mwaka mzima kwa kudunduliza vihela vyake halafu hata matumizi ya mwisho wa mwaka mmupangie?,acheni watu wafurahie maisha!!.

Yaani bado najiuliza kwanini watanzania mmemaindi!!
 
wakati mimi nalalamika bei ya mafuta ya kula kufikia 7500 kwa lita kumbe kuna watu wanachezea hela namna hii,


hawa naona wameamua kuanzisha derby


View attachment 2054183


View attachment 2054184


Hakika tumerudi zama za mbuzi kunyweshwa bia
Ili tuamini maisha magumu umewahi ona ujenzi imesimama? Watu wameacha kununua magari au kufanya harusi au baa hazijai?

Mkuu tafuta pesa
 
Back
Top Bottom