Hii nchi haiishiwi vituko, Kumbe watu wana hela za kuchezea

Hii nchi haiishiwi vituko, Kumbe watu wana hela za kuchezea

Ni mawazo finyo mno, sawa ni pesa yako, ni kwa nini pesa yako itese watu? Gari linaenda tupu kwa ujinga wako, basi hizo nafasi angalau ungewapa watu ungepata neema kwa Mungu. Ungechukuwa gari dogo ili hilo kubwa litumike na watu. Ukilogwa unaanza kulalama kumbe umeyataka mwenyewe. Umekufuru!!!
 
kulogwa tena😁
 
Uchumi ndio unakua sasa,sio zile zama za uongo uongo
 
Miaka ya 80 kule Korogwe sehemu inaitwa Magoma Kuna jamaa aliuza madini akakodi Gest nzima. Chumba kimoja alikua amehifadhi beer, kingine kilikua kinakaa kuku. Alitangaza hapo kijijini kwamba hataki kusikia jogoo akiwika. Alisema ukimletea jogoo anakulipa hela unayotaka. Mshenzi yule akawa anakula majogoo na beer Hadi pesa ilipoisha.
 
Stupid African katika ubora wao
Kipindi kama hichi kuna shida ya gari watu wanafanya upuuzi huo.
 
Diaspora hao wamekuja kutumia walizovuna huko nje
 
Katika maisha yangu sikuwahi kutegemea Marehemu Ruge Mutahaba kufanyiwa michango ya matibabu.

Kuwa na hela lakini usipige nazo picha.
Inawezekana pesa hazikumuishia ila wakaona vile ana washkadau na marafiki wengi bora bakuli litembee maana ikitokea ametoka Hospital angalau akiba iwepo
 
Shinyanga enzi zile za awamu ya kwanza watu wakishauza almasi pale Maganzo walikua wanakwenda kuspend Mwanza.
Basi unakuta boss anakodi magari manne . Landrover ya kwanza inatangulia na koti la shefa, then shefa na msichana wake, magari mawili ya nyuma Ni walinzi.

I like the sukuma. Very simple and down to earth
 
😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom