Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Nashangaa unavyohangaika utadhani mama mjamzito Anataka kujifungua.Kwani kulikuwa na ulazima wa eye pia kukodi kwa kumjibu huyo dada? Au ndio wewe?
Unateseka kutoka wapi?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Unateseka kutoka wapi???Nashangaa unavyohangaika utadhani mama mjamzito Anataka kujifungua.
Mimi siteseki ila nakupa dozi hadi nikukojoze.
kulogwa tenaπNi mawazo finyo mno, sawa ni pesa yako, ni kwa nini pesa yako itese watu? Gari linaenda tupu kwa ujinga wako, basi hizo nafasi angalau ungewapa watu ungepata neema kwa Mungu. Ungechukuwa gari dogo ili hilo kubwa litumike na watu. Ukilogwa unaanza kulalama kumbe umeyataka mwenyewe. Umekufuru!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]si Mshana Jr huyu jamani
Inawezekana pesa hazikumuishia ila wakaona vile ana washkadau na marafiki wengi bora bakuli litembee maana ikitokea ametoka Hospital angalau akiba iwepoKatika maisha yangu sikuwahi kutegemea Marehemu Ruge Mutahaba kufanyiwa michango ya matibabu.
Kuwa na hela lakini usipige nazo picha.
ππππShinyanga enzi zile za awamu ya kwanza watu wakishauza almasi pale Maganzo walikua wanakwenda kuspend Mwanza.
Basi unakuta boss anakodi magari manne . Landrover ya kwanza inatangulia na koti la shefa, then shefa na msichana wake, magari mawili ya nyuma Ni walinzi.
I like the sukuma. Very simple and down to earth