Cliffhanger
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 721
- 1,293
Huna lolote. Kwa hiyo unashabikia mfumo huu wa kinyonyaji uendelee??
Hivi wastaafu wa nchi hii watasubiri "Mapenzi ya Bwana Yatimizwe" mpaka lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna lolote. Kwa hiyo unashabikia mfumo huu wa kinyonyaji uendelee??
Huna lolote. Kwa hiyo unashabikia mfumo huu wa kinyonyaji uendelee??
Hamna bunge linalopitisha sheria mzee,bali wanahalilisha.Sheria haitungwi na bunge pekee. Ila inapitishwa na bunge pekee.
Hebu andika vizuri sijalielewa hilo nenoHamna bunge linalopitisha sheria mzee,bali wanahalilisha.
Si afadhali walimu aliwaahidi atawalipa mafao yao kufikia mwezi wa 8 atawakamilishia wote. Sasa hao wastaafu wengine sijuivitakuwaje?Mbaya zaidi ni hao hao wabunge ndio waliipitisha hii sheria ya mafao, upuuzi tuu. Natamani kila watakapopanda kwenye majukwaa ya kampeni washushwe na fimbo za kutosha. Tumechoka viongozi wanafiki. Halafu ni hao hao walimu wanapewaga nafasi ya usimamizi kwenye chaguzi nyingi na walivyo mambulula huwa wanafata maelekezo ya kijingaaa badala ya kusimamia sheria za uchaguzi. Wacha wateseke mpaka akili ziwarudi.
Sina hakika kama una akili timamu, achilia mbali kama ni Great Thinker. Tunatafuta suluhisho mkuu, sio kuwaondoa watu kwenye kada zao. Kwaiyo Daktari aache kutibu, atafute ubunge. Mwanao na wewe atawatibu nani? Mwalimu aache kufundisha, atafute ubunge? Watanzania milioni 40 watafute ubunge?Ndg yangu mtoa post! Nimeisoma post yako kidogo tu nikajua unakoelekea! Jibu la hoja yako ni dogo tu " Acha kazi hizo unazofanya zenye ujira mdogo" sheria yetu ipo wazi inaruhusu tu na wewe kuzamia humo mjengoni! Vinginevyo utaendelea kushangaa na kulalamika!
Ndiyo hiyo kinua mgongo, sijui waliinama wapi!mh aliwaambia t shirt zao zimeshafika
Mkuu kwa hiyo unahalalisha mfumo huu wa kinyonyaji uendelee pasipo kuhojiwa? Unaona sawa Mbunge kama Mtaturu kuka Bungeni kwa muda mfupi tu, na kisha kuondoka na pensheni ya Milioni 250 wakati hali ni tofauti kwa Waajiriwa wengine? Pumbavu sana wewe.Ila mbunge mpinzani mwenzio anakula mema ya nchi.
Ulichokiandika nadhani hukunikusudia mie.Mkuu kwa hiyo unahalalisha mfumo huu wa kinyonyaji uendelee pasipo kuhojiwa? Unaona sawa Mbunge kama Mtaturu kuka Bungeni kwa muda mfupi tu, na kisha kuondoka na pensheni ya Milioni 250 wakati hali ni tofauti kwa Waajiriwa wengine? Pumbavu sana wewe.
Kwani nani anajali?Ulichokiandika nadhani hukunikusudia mie.
Hata mie sijali.Kwani nani anajali?
mkuu unapambana na mfumo wa wizi wa mali za umma ulioota mizizi tangu enzi za Mwalimu!! utajifia na presha za bure kuhoji majizi yaliyoweka pamba masikioni!! tafuta mradi bora ufanye kulisha wanao!Hii nchi haina usawa. Hii nchi haijapata kiongozi wa kuleta usawa ingalau kwa nusu tu miongoni mwa wananchi....
Tumesikia wimbo huu wa kinafiki kuwa, Rais John Pombe Magufuli ni Rais na kiongozi wa wanyonge, wananchi wa hali ya chini wa nchi hii....
Si kweli, ni uongo mtupu na ni propaganda za kisiasa tu kwa ajili ya wapambe na wanafiki wachache wanaomzunguka huku uhalisia wa mambo ukiwa tofauti.....
## Mfano wa kuthibitisha hili ni huu;
Bunge limevunjwa juzi tarehe 16/6/2020. Hawa wabunge lililovunjwa juzi wameingia kazini mwaka 2015. Wamefanya kazi yao miaka mitano (5) tu toka mwaka 2015 hadi mwaka huu 2020....
Inasemekana mafao ya kiinua mgongo kwa miaka mitano tu kila mbunge + wabunge - mawaziri ni zaidi ya Tshs. 250,000,000....
Na inasemekana wakati Rais Magufuli (eti Rais wa wanyonge) anahutubia ndani siku hiyo "alipokuwa analivunja" bunge hilo, huko nje tayari mzigo wa fedha wa kila mbunge ulishaingia kwenye Bank Account zao na ndiyo maana ya yale makofi na vigelegele na wanawake kukata viuono mlivyokuwa mnaviona Siku hiyo....
Mtu ambaye hana uhakika na kesho yake hangekuwa na furaha isiyo na sababu kama walivyokuwa nayo hawa watu mle ndani. Sababu ni kuwa wao, Rais wao Magufuli na Spika wao walishajazana mapesa yasiyo na jasho tayari....
## Sasa hebu tazama na soma hiki cha upande wa pili wa wanyonge halisi kinachotokea....
Huko Sengerema mkoa wa Mwanza (na naamini na kwingine kote Tanzania nzima), yupo mwalimu aliyefanya kazi miaka 32 (1988 - 2020) kwa taabu na shida nyingi....
Amestaafu tangu mwezi Januari, 2020. Baada ya kukokotolewa kwa mafao yake ya mkupuo atapata kama Tshs. 70,000,0000 hivi.
Kinacholeta shida ni kuwa, tangu huyu mwalimu masikini amestaafu kwa mujibu wa sheria mwezi january mwaka huu. Hadi Juni hii ya mwaka huu, 2020 (miezi 6 sasa) bado anasotea mafao yake haya kidogo. Yaani hajalipwa....!
## Sasa swali la kujiuliza ni hili;
Kati ya wabunge hawa ambao bunge linavunjwa leo huku mafao yao tena makubwa kuliko kipimo cha kazi yao yakiwa yameshalipwa jana yake ama siku kadhaa nyuma kabla hata hawajavunja rasmi mkataba wao; na huku upande wa pili yupo huyu mwalimu ambaye ndiye mnyonge halisi kastaafu miezi sita (6) iliyopita na lakini mpaka leo bado hajalipwa vijisenti vyake vya mafao. Hivi hapa ni nani hasa mnyonge? Nini mantiki (logic) ya unyonge kwa mujibu wa CCM na viongozi wao?...
Na huu usawa katika nchi hii uko wapi? Iweje mbunge aliyefanya kazi miaka mitano tu alipwe mafao ya kiinua mgongo makubwa kuliko kipimo cha kazi halisi karibu mara tano ya mtumishi wa kawaida kama mwalimu ama nesi ama daktari aliyefanya kazi kulitumikia taifa hili kwa jasho na damu kwa miaka 35?
Na iweje acheleweshewe mafao yake haya kiduchu kwa miezi 6, wengine mwaka na wengine zaidi? Wanajisikiaje hawa kusikia wabunge wamestaafu juzi na mafao yao yameshalipwa tangu jana yake kabla hata ya kustaafu rasmi...?
Huyu mtetezi wa wanyonge (Bwana Magufuli) anatetea wanyonge na unyonge upi hasa?
Mimi nasema Tanzania haina kiongozi Rais mtetezi wa wanyonge.....!!
Haijapata na hakuna kizuri wala kiongozi mzuri atakayetokana na CCM ili kubadilisha hali hii na kuleta TOFAUTI, HAKI na USAWA....
Tupaze sauti zetu kwa njia mbalimbali na zozote halali juu ya jambo hili. Haiwezekani wengine tufanyishwe kazi usiku na mchana kama watumwa, jasho letu likaliwe na RAIA wachache wanaojiita "FIRST CLASS CITIZENS"....
Sasa wakati ni huu kuamua kuwa, kazi za kisiasa kama ubunge, uwaziri, Urais nk ziwe kazi za WITO na siyo za UJIRA na MAFAO makubwa. Kwa njia hii tutapata viongozi halisi walio tayari kutumika kwa ajili ya wengine, siyo hawa wa sasa....
Vijana wa CCM mnatumika kama KONDOMU, mwisho wa siku mtatupiliwa mbali kama GAMBO.Hata mie sijali.
kutumika ni kawaida ndio maisha yanaenda,we unafikiri mama ako angekataa kutumika wewe ungezaliwa? mama yako kakubali kutumika ndio umetoka wewe unakuja kushangaa vijana wa ccm kutumika!Vijana wa CCM mnatumika kama KONDOMU, mwisho wa siku mtatupiliwa mbali kama GAMBO.
Kwahiyo nawewe umeamua kutumika kwenye TIGO yako ili kwenda sambamba? Basi hayakutumika ni kawaida ndio maisha yanaenda,we unafikiri mama ako angekataa kutumika wewe ungezaliwa? mama yako kakubali kutumika ndio umetoka wewe unakuja kushangaa vijana wa ccm kutumika!
Niende sambamba kwani mie najua kama mama ako alikuwa anatumika na tigo pia? hayo unajua wewe aliyekuzaa ila nachojua mie ni kwamba alikubali kutumika akapigwa mimba akakuzaa sasa kama mama ako anatumia na tigo pia basi hongera zake .Kwahiyo nawewe umeamua kutumika kwenye TIGO yako ili kwenda sambamba? Basi haya
Dogo hapo Lumumba tigo yako inatumika na nani? Yatavimba kama ya Bashite, shauri yako.Niende sambamba kwani mie najua kama mama ako alikuwa anatumika na tigo pia? hayo unajua wewe aliyekuzaa ila nachojua mie ni kwamba alikubali kutumika akapigwa mimba akakuzaa sasa kama mama ako anatumia na tigo pia basi hongera zake .
2nd half inaweza kuwa more worse kwa sababu hatakuwa na hofu ya uchaguzi hata kidogoHata cha Rais wa wanyonge wa nini, ktk mafanikio yake wakati anahutubia Bunge sikusikia kuhusu uboreshaji wa maslahi ya wafanyakazi,kifupi wafanyakazi wa serikali wametoka kapa first half ya Jpm,labda wasubilie2nd half.
Kabisa Mkuu, jamaa atafanya kila aina ya vurugu kama kipindi kile alipokua akiuuza nyumba za Serikali na kugawia MAHAWARA akina Sundi Malomo.2nd half inaweza kuwa more worse kwa sababu hatakuwa na hofu ya uchaguzi hata kidogo
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app