Hii nchi haina usawa: Mbunge miaka mitano, mafao zaidi ya Tshs. 200M, mwalimu miaka 32 kazini, mafao Tshs. 70M, miezi sita hajalipwa

Hii nchi haina usawa: Mbunge miaka mitano, mafao zaidi ya Tshs. 200M, mwalimu miaka 32 kazini, mafao Tshs. 70M, miezi sita hajalipwa

mkuu unapambana na mfumo wa wizi wa mali za umma ulioota mizizi tangu enzi za Mwalimu!! utajifia na presha za bure kuhoji majizi yaliyoweka pamba masikioni!! tafuta mradi bora ufanye kulisha wanao!

Umesema vyema...

Lakini hata mtu akitafuta "mradi mpya ili alishe wanae", hayo hayo majizi yatavamia na huko kukuharibia kwa mfumo wa kukukamua kodi ili wakajilipe mafao makubwa makubwa kama hivi..!

Mradi wetu tulionao sasa ni hizi ajira zetu. Lazima tuzitetee na palipo na shoti ama tatizo tuseme waziwazi bila woga...

Piga kelele, acha kujidanganya kuwa ukinyamaza presha itakusamehe....
 
Back
Top Bottom