Hii nchi haina usawa: Mbunge miaka mitano, mafao zaidi ya Tshs. 200M, mwalimu miaka 32 kazini, mafao Tshs. 70M, miezi sita hajalipwa

Si afadhali walimu aliwaahidi atawalipa mafao yao kufikia mwezi wa 8 atawakamilishia wote. Sasa hao wastaafu wengine sijuivitakuwaje?
 
Sina hakika kama una akili timamu, achilia mbali kama ni Great Thinker. Tunatafuta suluhisho mkuu, sio kuwaondoa watu kwenye kada zao. Kwaiyo Daktari aache kutibu, atafute ubunge. Mwanao na wewe atawatibu nani? Mwalimu aache kufundisha, atafute ubunge? Watanzania milioni 40 watafute ubunge?
 
Ila mbunge mpinzani mwenzio anakula mema ya nchi.
Mkuu kwa hiyo unahalalisha mfumo huu wa kinyonyaji uendelee pasipo kuhojiwa? Unaona sawa Mbunge kama Mtaturu kuka Bungeni kwa muda mfupi tu, na kisha kuondoka na pensheni ya Milioni 250 wakati hali ni tofauti kwa Waajiriwa wengine? Pumbavu sana wewe.
 
Ulichokiandika nadhani hukunikusudia mie.
 
mkuu unapambana na mfumo wa wizi wa mali za umma ulioota mizizi tangu enzi za Mwalimu!! utajifia na presha za bure kuhoji majizi yaliyoweka pamba masikioni!! tafuta mradi bora ufanye kulisha wanao!
 
Vijana wa CCM mnatumika kama KONDOMU, mwisho wa siku mtatupiliwa mbali kama GAMBO.
kutumika ni kawaida ndio maisha yanaenda,we unafikiri mama ako angekataa kutumika wewe ungezaliwa? mama yako kakubali kutumika ndio umetoka wewe unakuja kushangaa vijana wa ccm kutumika!
 
kutumika ni kawaida ndio maisha yanaenda,we unafikiri mama ako angekataa kutumika wewe ungezaliwa? mama yako kakubali kutumika ndio umetoka wewe unakuja kushangaa vijana wa ccm kutumika!
Kwahiyo nawewe umeamua kutumika kwenye TIGO yako ili kwenda sambamba? Basi haya
 
Kwahiyo nawewe umeamua kutumika kwenye TIGO yako ili kwenda sambamba? Basi haya
Niende sambamba kwani mie najua kama mama ako alikuwa anatumika na tigo pia? hayo unajua wewe aliyekuzaa ila nachojua mie ni kwamba alikubali kutumika akapigwa mimba akakuzaa sasa kama mama ako anatumia na tigo pia basi hongera zake .
 
Dogo hapo Lumumba tigo yako inatumika na nani? Yatavimba kama ya Bashite, shauri yako.
 
Hata cha Rais wa wanyonge wa nini, ktk mafanikio yake wakati anahutubia Bunge sikusikia kuhusu uboreshaji wa maslahi ya wafanyakazi,kifupi wafanyakazi wa serikali wametoka kapa first half ya Jpm,labda wasubilie2nd half.
2nd half inaweza kuwa more worse kwa sababu hatakuwa na hofu ya uchaguzi hata kidogo

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu acha walimu wavune wanachopanda. Ninachojua walimu wengi sana wanakadi za CCM!!

Mkuu hujui kama walimu ndiyo wanaotumika kwenye chaguzi mbalimbali kuandikisha na kusimamia upigwaji wa kura na uchakachuaji wa matokeo.?

Hivi Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) walilazimishwa kumwalika Rais kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa uchaguzi wao? Kwanini hayo uuloandika wasingewasilisha directly siku ile.

Acha wavune wanachopanda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…