Hii Nchi hii asee kwahiyo Yeriko Nyerere naye ni jasusi?

Nyie makamanda uchwara mmeshaanza. Alipokuwa kwenu mlinunua 'vitabu' vyake vyote na mlimpamba hadi akapambika. Sasa leo kaamua kutoka huko mnaanza kumn'gon'ga. Upuuzi mtupu.😎

Cc: Mimi Wewe Yule
Mimi sina chama mkuu. Mimi huwa nachagua mtu mwenye upeo wa uongozi na hili nalisema tangia awali kabisa.

Nimesoma kitabu chake cha ujasusi wa kidola na kiuchumi hapo ndo niligundua huyu ana kopi na ku paste hakuna anachojua tena sikununua mwenyewe nilipewa na Baba paroko mmoja. Nilisikitika mno kupoteza muda wangu kusoma usaha ule japo sikukimaliza.

Mwambie ni mjinga sana
 
Ukifa mke wako ataolewa tu hata usemeje🤣

Cc: Mimi Wewe Yule
 
CHADEMA mmelogwa? Mnajiita wanademokrasia ila hamfanyi demokrasia inavyotaka. Yericko katumia haki yake ya kikatiba kuhamia CHAUMMA ila nyie bado mnamshambulia.
 
Back
Top Bottom