Hii nchi ina mambo ya ajabu sana! Eti wanapima uzalendo kwa mtu kuteseka

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Kuna picha moja inatend ya mmoja wapo wa mtumishi wa Afya akiwa amebeba vaccine carrier kwa maana chanjo akivuka mto kwenda kutoa chanjo.

Ile picha imenifikirisha sana kwanza yule mtumishi wa Afya ni mpumbavu,mjinga na hajielewi yaani unavuka kwenye mto ili iweje?

Je, haoni hatari ilioje? Na mbaya zaidi viongozi wajinga wanamsifia na halafu wanamterm mzalendo! Ujinga mtupu kwenye Afya kuna msemo unaosema your safety is first priority.

20240219_112644.jpg
 
View attachment 2908907
Kwa maono yangu mzalendo ni mtu anayeitumikia nchi yake kwa moyo wote pasipokuwa mwizi au mfujaji wa mali ya umma na ambaye anajitolea maarifa yake ,ujuzi na maoni ili kuhakikisha nchi inasonga mbele na maisha ya wananchi yanakuwa bora. Haijalishi mtu huyo ni mfanyakazi analipwa mradi anatimiza wajibu wake bila kuwa muongo au mwizi ili kuhakikisha maendeleo kwa watu wote. Huyo naweza sema ndiyo mzalendo. Haya ni mawazo yangu
 
Sawa

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom