Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
Miaka 2, 3 iliyopita tulipata billions and billions kutoka kwa Wazungu ili tukabiliane na athari za COVID-19. Pesa zile nyingi zilikwenda kwenye elimu. Zilijenga vyoo vya shule na kujenga madarasa mengi hapa nchini.
Wachache tuliona ni jambo jema lakini tulitoa kasoro.
Inamaana bila COVID-19 bado watoto wangeendelea kujisaidia vichakani?
Bila COVID-19 je, maadhi ya watoto wangeendelea kusomea chini ya miti?
Hao wafadhili pesa wametoa wapi?
Sisi hatuna rasilimali za kuweza kugeuzwa fedha zituondolee aibu ya kujengewa choo?
Viongozi wamekubali na kunyoosha mikono kwamba hawana ufahamu (akili) wa kutosha kuweza ku utilize resources zetu ili kupata pesa za kujenga shule, dhahanati, Vituo vya afya na miundombinu mingine?
Kuna mdau eddy ndio kanifanya nipandishe tena Uzi humu jukwaani.