Hii nchi kazi tunayo, kila mahali ni Ufisadi

Hili bunge la mchongo ndiyo linalea huu uhuni wote, dawa yake ni kufanya kama SA
 
Mikipo ndo mikipo

Ufisadi ndo unakithiri

View attachment 3007979Uchawa ndo usiseme

Rushwa, uzembe makazini, shame on us
"Let us agreed that Black people cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Hayo matatizo ni ya kitaifa wahusika hawajui kwamba wanajukumu la kupambambana na kuzuia rushwa hata wale wenye nia ya kutaka kupambana na Rushwa wanakwama hivyo kuachia wala rushwa watambe mpaka hapo itakapo fikia hatima baada ya kuchoka.
 
Hili bunge la mchongo ndiyo linalea huu uhuni wote, dawa yake ni kufanya kama SA
Jiwe Mpuuzi yule ndio alileta Hawa wabunge Kwa mtutu wa bunduki atawale milele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…