MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Jenga kiwanda uone Serikali itakavyokuandamaAkili za wtz wengi ndio zimeishia hapo freme freme freme hata mimi nikipiga hela najenga mafreme naenda kulala sifikirii kitu kingine nasubiri kodi.
Wewe umefanya nini cha ajabu kuliko hao wenye ma fremuMafremu yanachafua nchi. Hakuna mpangilio wa kazi kutokana na sehemu husika.
Watz wanaishi kukariri na kuiga kuliko kutumia bongo Zao kuja na mawazo bunifu. Mipango miji ifike mahala ichukue hatua.
Police Usa River nao wameona wasibaki nyuma wameshapiga frame.TUKO KWENYE UCHUMI WA MAFRAME
SASA MPAKA LUGALO BARRACKS NAO WANAWAWEKEA MAFRAME MNATEGEMEA NINI
PALE MAKAO YA FIRE KUNA FRAME
IKO SIKU MPAKA NJE YA JUMBA JEUPE PATAWEKWA MAFRAME 😄
OVA
AiseeeePolice Usa River nao wameona wasibaki nyuma wameshapiga frame.
Inabidi Watanzania tuchunguzwe akili. Hivi hakuna kitu cha kujenga zaidi ya frame?
I see,niliona JUZI ,hakika nilishangaa...TUKO KWENYE UCHUMI WA MAFRAME
SASA MPAKA LUGALO BARRACKS NAO WANAWAWEKEA MAFRAME MNATEGEMEA NINI
PALE MAKAO YA FIRE KUNA FRAME
IKO SIKU MPAKA NJE YA JUMBA JEUPE PATAWEKWA MAFRAME [emoji1]
OVA
Ndo vision ya kizmkaz ya 2050,ka vp aunge telahnawewe weka ndio direction ya nchi imeelekezwa huko.